Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa waliona hizi picha wakahitimisha kwamba ni town yote 😂😂😂.. my dearest brothers and sisters, don't get confused, this is Posta alone 👇have the closer view 👇kariakoo 👇upanga west 👇, ndio leteni dharau ila heshima ya CBDs zetu tutailinda kwa wivu wote.. hili chizi moja lilikua likijifariji leo 👇
Kuanzia sasa jua kwamba DSM sio ya kuchezea fala wewe
 
😂😂😂

Another Moses granting permission to her people to freely take what is enough for a day.

Lets Pray......

"Dear lord, in your mercy, deliver us from this devil, may 2025 be her END.

Amen."
Hivi ninyi bado mlikua mnafikiri tuna Rais?

Rais anaehamasisha ufisadi na ujambazi wa mali ya umma, mishahara haiwatoshi mpaka wakale kwenye miradi ya wananchi? 🚮🚮🚮

Anahamasisha ufisadi sababu nae ni fisadi, sasa hataki hiyo dhambi aibebe mwenyewe.
 
Deni la Kenya limezidi la Tanzania mara 3.5
Limezidi mpaka GDP yao lakini ukiangalia pesa yote hiyo wamefanyia nini huoni kabisa na walivyo makondoo wala hawahoji, bado wanadanganywa, uhuru anawadanganya kawajengea kilometers 10k za lami, meanwhile wana counties kibao hazina lami.

Tanzania ni kubwa mara 2 yao lakini mikoa yote inafikika kwa lami, tena kuna mpaka mikoa mingine ina route zaidi ya 1 ya lami kuingia na kutoka.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uhuru na Kazi, this is just completed Mbita Brige.

View attachment 2079902
Shoddy job as usual but bigger money, hivi ndivyo kunyata amefanikiwa kuwatapeli $106B with nothing on ground

Kadaraja gani sasa haka? Usiku watu wanapitaje hakuna taa? Tanzania kwa BOQ za TANROADS hujengi daraja bila taa kabisa, warnings and reflectives? haya traffic/crash barriers zipo wapi mwishoni mwa lanes kumkinga pedestrian? Shoddy Shoddy Shoddy 😅😅😅😅

Shoddy bigger picture 😂😂😂😂




Haya mambo ya madaraja achieni Tanzania tu, Magufuli Bridge Morogoro hiyo, daraja lina kila aina ya kigezo yet very cheap





 
Nimekukamata we ngedere 😂😂😂😂

Hiki ndio unakiita flyover kijijini mbita? 🤣🤣🤣🤣

Kwanini mnaforce shithole yenu ionekane relevant kwa kutumia uongo? 😂😂😂😂





 
Umempa kipigo cha nyoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…