Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kenge,nasema hivi , Mwendazake kaziacha barabara kama alivyozikuta 2015?
Acha uongo mzee wangu .. west gani unaizingumzia .? Mimi nimeishi kanda ya ziwa for three good years,nimetembelea mikoa minne.. na nimepita karibu mikoa yote ya west, barabara mpya na uboreshwaji wa barabara za zamani ufanywa maeneo mengi mno, nimejionea kwa macho yangu wala sio hadithi
 
Miaka 5 alijenga 3500km JK alikua madarakani miaka 10 alijenga km ngap?
Hakuna Rais alijenga barabarani na kufungua Nchi ya Tzn kama JK.

Hoja yangu iko pale pale ,hizo km 3500 labda.ni za Dar ila mikoa alivyoikuta ndivyo kaiacha ,,.Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu nk nk yaani list ni endless.
 
Heb wacha uongo mzee, hiyo mikoa ulipita mara tako ya mwisho lini.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hakuna barabara hata moja Tz kwasasa inayounganisha mkoa na mkoa ambayo haiko na lami
 
Nikiongezea, ila sehemu zingine google earth ina pick clearly, kama hii hapa ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ .., (though the surrounding)


Sehemu zingine ni faint or imefutika, or maybe not there at all.., yaani haiko clear to ascertain..., google earth for you.., ila kama ni ukweli then Dar marked roads ni chache mno, kwa mjibu wa google earth..,

 
 
Waende google earth wacompare The Nairobi city na hiyo dar yao.......๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tanzania ni vumbi kuruka mzee, utamdanganya nani[emoji1787][emoji1787]View attachment 2079591

JamiiForums mobile app
Hapa umenionesha barabara yenye vumbi au.? Note this hakuna barabara hata moja inayounganisha mkoa na mkoa ambayo ni barabara ya vumbi tz nzima, tena uko west barabara nyingi ni mpyaaa.. we unafkiri wanaowekaza mabasi ya abiria wa mikoni wanaweka kwa bahati mbaya.? Miundombinu inaruhusu, fala wewe. KAMPUNI za MABASI 100+ ambopo kuna baadhi ya kumpunI zinamiliki basi mpaka 50 .. we ulifkir ni vitu vya bahati mbaya.? kuna uwekezaji ulifanywa mzee kwenye barabara
 
Kuna sehemu nyingine ya maana zaidi ama mbali na hapa?.., just a single business district., the rest ni shopping centers.., hii ndio sura ya Dar town., sura ya Dar city ni sprawling unorganized residential..., that's it.,
Kwahiyo Kariakoo, upanga na ilala zote hazipo DSM.?
 
I like Dar., ila developed area ni ndogo sana, ni town imekusanywa kwa pamoja, ila kwa Nairobi developed area ama towns kwa ujumla Dar ni ndogo sana.., Sama boy 255
Dar town (mjini), yaani business district yao is from this end ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡


to this end ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ .., zaidi ya hapa ni vigorofa vichache vimetapakaa hapa na pale na makazi tu..., so ukubwa wa dar ni idadi ya watu na ardhi(udongo).., sio development..,
 
Kwahiyo Kariakoo, upanga na ilala zote hazipo DSM.?
My point dogo ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ..., nothing ya maana zaidi ya hapa..., hii ndio town centre ya Dar.., kwingine ni shopping centres na makazi with scattered buildings.,., mnakuja vizuri, ila bado sana...,
 
Bro fanta research zako vizuri, barabara mingi DSM ni mpya, na hakuna brabara kubwa hata moja DSM ambayo haipo marked, na 95% of Dar roads ni marked au hata zaidi, kwababu barabara nyingi ni mpya na za barabara za zamani nilizo rekebishwa
 
Bro fanta research zako vizuri, barabara mingi DSM ni mpya, na hakuna brabara kubwa hata moja DSM ambayo haipo marked, na 95% of Dar roads ni marked au hata zaidi, kwababu barabara nyingi ni mpya na za barabara za zamani nilizo rekebishwa
alright then, it's your word.., mie naangalia google earth, my point, kuna sehemu zenye ziko marked but google earth haiyonyeshi vizuri or faint image.., especially kama ilikua marked kitambo.., keep up with development, it is good to know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ