Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The League is between Mombasa and Dar. Mbona Sasa unahangaika na Tanzania nzima?🤣🤣
mombasa sio level ya dar mombasa hata mwanza haitoboi wachilia dar 😂😂😂

mwanza kuna cable stayed bridge ya over 3.2km ambayo ukikusanya bridge zote mombasa hazifui dafu 🤣🤣🤣👇👇👇
F8D24718-50D4-4F36-BD23-C8144950C1C4.jpeg
25C0D967-9C89-4C82-A35B-0923182AEF31.jpeg
72852514-A1A3-4CA5-8297-CA144117DFB1.jpeg
 
Hata ucheke ulie ukweli utabaki kuwa Mombasa iko na bridges mingi kuliko Dar😂😂
ukipata ukalipa hii njoo ushindane na dar
😂😂😂👇👇👇👇👇👇
mombasa sio level ya dar mombasa hata mwanza haitoboi wachilia dar 😂😂😂

mwanza kuna cable stayed bridge ya over 3.2km ambayo ukikusanya bridge zote mombasa hazifui dafu 🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 2078147View attachment 2078149View attachment 2078150
 
mbona hamuijaribu sasa siku zote munasemea mdomoni 😂😂😂

nakwambia tena na narudia siku utapata modern ana paved street like this in mombasa mm nafunga acc forever 😂😂👇

Hizi video umepost hapa mara ishirini lakini bado hakuna kitu ya kuvutia hapo ndani, so tukikuambia Mwanza ni level ya Kisii please believe us.
 
Hizi video umepost hapa mara ishirini lakini bado hakuna kitu ya kuvutia hapo ndani, so tukikuambia Mwanza ni level ya Kisii please believe us.
jibu basi mbona maneno mengi kama ww unafungua zipu ya suruali kweli🤣🤣
 
jibu basi mbona maneno mengi kama ww unafungua zipu ya suruali kweli🤣🤣
Mwanza no level ya Kisii. Hakuna venye utaanza kulinganisha hicho Kijiji with a city which has vehicle assembly plants😂😂😂
 
Back
Top Bottom