Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kidimbwi......after 200 metres uswazi roads [emoji1787][emoji1787]
 
tafuta source sahihu upost hapa ww na waziri nani anaejua zaidi??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

waziri kasema baadhi ya maeneo itakwenda mpaka 200km per hour ww unabisha nani anajua zaidi🀣🀣🀣
SGR ya Tz has a maximum sped of 160km/h, hiyo 200km ni yako .
 
Kwa kweli wakenya wengi wana talent ya kuwa lunatic & idiots. Kwani barabarani unapoambiwa kwamba maximum speed ni 100km/hr ina maana hiyo ndio maximum speed ya gari? Au barabara haiwezi kuhandle speed zaidi ya 100km/hr?
Kwenye masuala ya treni ni tofauti, acha udwanzi we bwege

JamiiForums mobile app
 
Japan has a debt to GDP ratio of 256.86%.
Tanzania has a debt to GDP ratio of 39.15%.
Guess which one is the 6th most powerful nation in the world and which one is an impoverished East African country πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Subirieni kupigwa mnada tuu mkawe wake za wachina,hayo mengine ni kujifariji.
 
tafuta source sahihu upost hapa ww na waziri nani anaejua zaidi??[emoji23][emoji23][emoji23]

waziri kasema baadhi ya maeneo itakwenda mpaka 200km per hour ww unabisha nani anajua zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni yale yale ya waziri kasema kumbe[emoji1787][emoji1787]
Mheshimiwa rais yupo salama amewasalimia sana na anaendelea shughuli zake za kawaida"
JamiiForums mobile app
 
Acha shobo za kijinga,na usimuite mama sio mama yako huyo muite mh.Rais
 
Hata mlima mbogolo pale kilifi una afadhali, yani hapo ukipanda unashuka tayari[emoji1787][emoji1787]
Donation zngine bana, hata ni zarau

JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…