Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha nyie huwa wajinga siku zote. Utaambiaje investor jinsi atakavyotumia pesa zake? Hii mambo ya kujipiga kifua ndio huwa inawafukuza investors inawafanya watoroke Tanzania na kuenda Mozambique. Yaani nyie ni nani mnajipiga kifua kwamba lazima lng gas plant ijengwe on shore hata kama investors hawataki? Sasa ona mtaka yote hukosa yote, hamjapata mlichokuwa mkitaka. Hamuwezi kulazimisha investors kufanya wasichotaka kufanya. Mimi sikuwahi kupenda jinsi Magu alivyokuwa akiendesha vitu kibabe. Alikuwa anapenda kutumia kifua kila mahali hata mahali ambapo busara na ustaarabu unahitajika. Sasa Mozambique wanakula mema ya nchi wakati nyinyi bado mnahangaika kutafuta investors. Huyu mama naona hana damu moto na ukurupukaji kama mwenda zake natumai ataweza kukaa chini na investors na kuwashawishi walete meli waanze kuchimba na kuvuna gesi. Wacheni masharti mengi za kipuuzi kwa investors. Investors hawapendi masharti mengi za ujinga.
 
Kenya kuna flyover tofauti na Expressway, it`s 4KM.
Nimeuliza hivi ukiitoa express way ( barabara ya mchina) ni Flyover ipi hapo mjini NAIROBI ni ndefu kuliko Kijazi interchange, ambayo πŸ‘‡the top level on the Nelson Mandela and Samnujoma roads is 700m long standing at 16.3m highyani hii πŸ‘‡.?
 
So muendelee kuwa masikini kwa miaka ishirini zijazo kwa sababu hamtaki kuliwa? Hahaha. Mbona mnaliwa kwenye migodi za dhahabu na hamlalamiki? Usichojua ni kwamba serikali ya Mozambique inamiliki 15% ya kampuni hii iliyoundwa kuvuna hii gesi. Isitoshe watapokea royalities na taxes kutoka kampuni hio. Ukijumuisha dividends watakazopokea kwa sababu wao ni shareholders,taxes kwa mfano corporate tax, na royalties basi nchi hii itavuna pesa kwa magunia. Kumbuka gesi hii tayari imeshanunuliwa kwa miaka ishirini. Yaani mteja ameshapatikana na ameshanunua gesi lote kwa miaka ishirini. Yaani kaeni hapo mkiwa masikini wakati Mozambique wananeemeka na kujivinjari na mema ya nchi na baraka za rasilimali walizopewa na Mungu.
 
Wewe unajua hata maana ya flyover kweli? Since when did a lower road become a flyover?🀣🀣🀣
 
Wewe unajua hata maana ya flyover kweli? Since when did a lower road become a flyover?🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ajabu kweli.. pitia hapa ujue maana ya Flyover, inaonekana wewe ndio hujui maana ya Flyover πŸ‘‡alafu usinitoe kwenye reli, jibu swali bhana.. hii πŸ‘‡ ni kijazi interchangetop level road is 700m long, je kenya ukiitoa express way (barabara ya mchina) kuna flyover ndefu kuliko Kijazi interchange.? Maelezo yake πŸ‘‡
 
Kuna mingi kuliko hiyo kijazi which is less than 1km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…