dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
but are you sure th's tanzania?!. proof me wrong plz. it could as well be SA.. ANC also use the same flag and dress cord. chances are, i could be rightEti Eldoret🤔🤔🤔
CCM hata bendera na mazingira huoni?? Hamuoni aibu kusema uongo??
Kenya sio level yenu, siku mtaanza kuunda hata baiskeli mtuambie.Production au garage? 🙃
Pole, Kenya is in the industrialization revolution. Nyinyi bado mmekwama kwa ukulima😂😂Production au garage? 🙃
Kwa sasa hivi watz hatuna kiongozi tuliye mchagua hivyo subirini muda tukipata raisi wetu ndiyo tutapambana vizuri .Tanzanian National Debt is now over 55% of their GDP[emoji23][emoji23]
Wewe bwana IQ yako ni ndogo some time unatuhaibisha sana kwenye huu uzi ,sasa hapo umeonge nini? Mwenyewe tayari kasema kuwa hiyo picha ni tz [emoji849][emoji849]Hiyo picha ya chini ni kampeni za CCM ngenderek wewe.
Naona wanasiasa wenu wanachukua picha za kampeni za CCM na kuwahadaa wajinga kama wewe kuwa hapo ni Kenya.
Haihitaji kutumia nguvu nyingi kugundua wewe ni kabila gani. [emoji23][emoji23][emoji23]
So this is the Tanzanian stupidity that is so famous across the continent 😂😂😂. I'm not disappointed. Ignorance is bliss and you people are a living, breathing proof of that saying.Umenifungulia account mpya baada ya kusema ukweli mchungu kwamba wakenya hata kutengeneza unga wa ugali mumeshindwa Mzungu ndio anaewalisha ugali?
Yaani ninyi akili hamna kabisa, Mzungu ugali ameujulia Africa lakini ndio mlishi wenu mkuu, yeye akitaka kuwamaliza kwa kuwawekea sumu ni dakika 0 sababu hamli ugali bila ridhaa ya Mzungu 🤣🤣🤣🤣
Akitoka Mzungu, Muarabu anapokea kijiti
Mtu asiyejua kuandikia anajadili kuhusu IQ! [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe bwana IQ yako ni ndogo some time unatuhaibisha sana kwenye huu uzi ,sasa hapo umeonge nini? Mwenyewe tayari kasema kuwa hiyo picha ni tz [emoji849][emoji849]
Kenya shida ni kipato mkuu kama 86% ya GDP ni madeni hela ya anasa watatoa wapi?kudadeki Bongo tupo vyemaa kwa hii sekta ya vinywaji asa tungi,ngoja nidamke mda huu nikashtue kilimanjaro zangu 10 samaki samaki maana ghafla koo limeshtuka
Usiwe mjinga wewe!You need your head checked.
You're very useless Uwuru na umoja
Chances are: you are such an idiot.but are you sure th's tanzania?!. proof me wrong plz. it could as well be SA.. ANC also use the same flag and dress cord. chances are, i could be right
What are the specs (Engine)?
Bado sijaona cha maana zaidi ya garage na showrooms 🙂Kenya sio level yenu, siku mtaanza kuunda hata baiskeli mtuambie.
Parking au sio? Industrialization ndio parking?Pole, Kenya is in the industrialization revolution. Nyinyi bado mmekwama kwa ukulima😂😂
View attachment 2074400
View attachment 2074402
View attachment 2074409
Ni haki kabisa ya komora096 kulaani kilimo sababu kiukweli hakina faida yoyote kwa taifa la Kenya kama chai ni ya Mzungu, maua ni ya Mzungu, unga mnaokula ni wa Mzungu kwa nini asikione kilimo miyeyusho? 😂😂😂So this is the Tanzanian stupidity that is so famous across the continent 😂😂😂. I'm not disappointed. Ignorance is bliss and you people are a living, breathing proof of that saying.
Yani mihogo na mboga mboga shambani basi ushamaliza kila kitu katika maisha yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlalahoi wa Tanzania ana uhakika wa kula mlo kamili, mlalahoi wa Kenya ni mfu wa njaa
View attachment 2073905
Unafikiria kenya ni km tanzania kila kitu machotara[emoji1787][emoji1787]Ni haki kabisa ya komora096 kulaani kilimo sababu kiukweli hakina faida yoyote kwa taifa la Kenya kama chai ni ya Mzungu, maua ni ya Mzungu, unga mnaokula ni wa Mzungu kwa nini asikione kilimo miyeyusho? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzungu kakaba kila angel dadeq, ninyi mfe tu na njaa sababu ndipo penye uhodari wenu!
kibongobongo kilimo kinalipa......Unafikiria kenya ni km tanzania kila kitu machotara[emoji1787][emoji1787]
Yani vile mnapelekeshwa kwenu basi mnafikiri hata huku pia ni vile vile vile..
Poleni sana wazembe..
Ukulima katika karne ya sasa hauna nafasi kw mtu mmoja mmoja...
Ndio manake maskini wamejazana kwenu
JamiiForums mobile app
kuna jamaa alipiga ml300 kweny kitungu na hakuwa amekipeleka sokoni watu walimfuata shambani wanahitaji mzigo..kibongobongo kilimo kinalipa......
labda uko kwenu ndo akilipi