Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kuhusu umeme wa mgao dar, yenu yanewashinda ndio mtayaweza ya wajir

JamiiForums mobile app
huyo ako na uwelewa kidogo sana ikija mambo economics, hajui wao hawana GDP ya maana wanaishi kubahatisha tu, tazama vile serikali inahangaika kumaliza miradi kwa sasa imebidi wakope peupe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
The funny thing, sijawai skia dam yoyote kutoka tanzania wakati nilipokua shule katika somo la GHC

JamiiForums mobile app
Ndio ujue kwamba walimu wako hawajui kitu kuhusu Tz, wacha nikurudishe shule leo, haya mtera dam πŸ‘‡mnafundishwa na waalimu ambao hata EA hawaijui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio watajua nini sasa kuhusu dunia.?
 
huyo ako na uwelewa kidogo sana ikija mambo economics, hajua wao hawana GDP ya maana wanaishi kubahatisha tu, tazama vile serikali inahangaika kumaliza miradi kwa sasa imebidi wakope peupe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mkenya anamcheka mtanzania kuhusu kukopa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni jambo la ajabu sana,
 
Umeongea kwa maumivu sana,.., skiza mziki hapa πŸ‘‡ uwache kuota ni jumamosi.., Dar ni hafifu sana inabidi u support your manicured pictures kwa maneno yaani upake Nairobi matope na kuitaja pamoja na Juba ili angalau Dar ionekane lakini wapi, napenda unavyohangaika kutetea visivyo, hehehe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nikuulize kaka...na hiyo GDP yenu kidogo...mkishalipa mishahara ya wafanyikazi wa umma mnabaki bure....mtatoa wapi pesa za kumalizia miradi zenu nyiiiingi mnazozifanya eti kushindana na kenya...hata kwa umaskini ..kuna masikini aliye tajiri...huko huko uswahilini kuna wanao heshimika kwa utajiri wao...vivyo hivyo ndio kenya inaheshimika kwa utajiri wake hapa east and central africa....hapana machezo bro...
kisha usikosee ukaiweka kenya kwa category moja na tz...sisi kwa kusema kweli sio wenzenu bana...a difference of 35 billion dollars is not your peer brother. tuko level tofauti sana na ni kwa sababu ya akili yetu...sio mafuta...wala nini ,,,ni ujanja wetu...na hili ndio Rais suluhu anajaribu kuwaletea lakini aiseee upumbavu wenu umekita mizizi...ndio maana corona..mliichukulia juu juu sahiii mnatahadhari...very late ....ilibidi imle kichwa mmoja wenu ndio mkaagutuka...yaani akili ndogo kweli...
Issue hapa sio kukopa kiwango cha chris kirubi ila ni kukopa ..but kwa kiwango changu...Tanzania is a very pooor country na laZIMA MKOPE NDIO RELI YENU SGR ANGAA IANZE KAZI....by the way itaanza lini tuko 2022 bro siku zaenda chungeni isishike kutu...shida ya kuiga kenya blindly...ni nini yenu inafanya kazo? blue prints ndio nyingi lakini hakuna hatua wala completed projects.
aCHENI RAis akope ili nchi yenu ipanuke kiasi
 
Jamaa analeta Akasombo dam huku akisema ipo tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sama boy 255 bana, yani nimecheka sana

Nimekukimbiza maskini

JamiiForums mobile app
Jamaa huamini unachokiona kama hii ni mtera dam πŸ‘‡hadi unamilikisha wa ghana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sawa picha umekataa basi bisha na hii video pia .
 
Tanzania tumewapita katika
1)Utalii
2)Biashara
3)Kilimo
4)Usafiri na usafirishajj
5)Amani
6)Umoja
7)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni amani umoja na utalii tu pengine.., fikra zako ni ndogo sana, ama unamaanisha biashara kwa ajili ya recent data, a momentary change not sustainable, Uganda wamefanya same sio mara moja., hizo products za kilimo can't be relied upon, leo mna soko kesho soko haipo., uliza waganda πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., alafu on average. total income ya biashara on global scale(Africa na nje) ata robo hamfikii., nyie ni watoto sana.., mbona wewe boya hivi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
$1.44 billion ndio biashara nyinyi hu export to EA na ni 64.3 percent ya biashara yote nyie hufanya Afrika at large πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, data za sasa zinaonyesha sisi ndio wababe wa EA, kule SADC sisi tunafanya nao biashara (tuna export) of almost $1 billion. Ndio mtatuweza sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uko duniani wala usitaje mana hakuna kitu cha gharama chenye mta export, chai.? Matunda.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…