Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is the busiest airport in the region in terms of number of aircraft landing and taking off.
Busiest Airport kwa hivi vindege vidogo ni upuuzi mtu go and ask how much they earn vs wear and tear of the runway, Single landing of a big aircraft,I mean itue mara moja tu,confident nakuhakikishia itakupatia pesa nyingi kuliko vikatua hivyo vindege zaidi hata ya vidogo 60.
 
Hesabu ya kupata pesa kwny landing fee= Rate x Uzito wa ndege( Maximum Take off Weight). Rate inategemea na category ya kiwanja ambayo inakuwa determined na facilities zinazopatikana kwny kiwanja husika ikiwepo AGLs (taa za kwny runway) pamoja na fire cover ( fire tender) etc.
 
Hahahaha, few years back Kenya was the biggest Cement producer, biggest Exporter to all countries in this region, a tourism hub, biggest spender of development projects, now everything is upside down[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, vichaa ninyi, eti in Africa, hivi mnajua capacity ya bandari za Egypt, Morroco, Libya, South Africa, Angola na Nigeria[emoji23][emoji23][emoji23]
Juu unajua kuliko kila mtu, tell us the capacity of their oil terminals so that we compare tuone nani mjinga kati ya wewe na KPA😂😂
 
This airport is meant for small aircraft so that we can't waste time at the busy JKIA landing small aircraft. If you want to see big aircraft, go to JKIA which handles more than all your airports combined. Sio hapo kwenu hata ndege ya watu wawili inaland in your major airport alafu hapo hapo ndio mna airforce yenu. Ndio maana JNIA handles very few passengers - wasting time landing tiny aircraft.
 
Juu unajua kuliko kila mtu, tell us the capacity of their oil terminals so that we compare tuone nani mjinga kati ya wewe na KPA😂😂
Huyo jamaa huwa mbishi sana yet ana knowledge kidogo Sana. Afadhali Geza Ulole ni mbishi lakini kidogo ana auelewa.
 
We should work hard safari ni ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…