Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wametushinda mwezi moja pekee - June 2021. Usiwape sifa za bure.
 
Hahahaha, Kenya ndiyo ilikua biggest Exporter to all other EA Countries, tangu Magufuli ameingia madarakani vitu vimegeuka "upside-down [emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbuka "to overtake is not an event rather than gradual process", kila mwaka tulikua tunapunguza "gap", mlikua mnaona na mlishindwa kuzuia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna neno "top earner", jumla ya pesa tunayokusanya kwa kuwauzia bidhaa zote kwa ujumla hata Kama ni kiberiti, onyesha ni bidhaa gani kubwa Kenya inauzia Tanzania zaidi ya maziwa na Sigara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua miaka 15 iliyo pita mambo yalikuwaje ? Siku zote nasema wakenya hawana akili wala awajui wanaenda wapi
 
Hawataki kusikia huu ukweli mchungu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona Kenya wanasaidiwa maghorofa na mchina INA maana population imekuwa kubwa kuliko uwezo wao .😂😂😂
 
Kwa data zako hizo sasa huoni Tanzania kwa kipindi kifupi inakuja kwa kasi kuwa east Africa giant.
 
Unajua miaka 15 iliyo pita mambo yalikuwaje ? Siku zote nasema wakenya hawana akili wala awajui wanaenda wapi
Miaka 15 iliyopita, ndio Kenya ilikuwa imepita Tanzania kiuchumi. Hadi 2004, uchumi wa Tanzania ulikuwa juu ya Kenya - sahii uchumi wa Kenya unakaribia double wa Tanzania. Sasa anayeelekea pabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…