Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mingi tayari ipo Boss. Tayari ipo siku nyingi.
Hawa jamaa wana laana sana wallahi, yn wanatupeleka mchaka mchaka kweli kweli, usije kuta cc tunapata nao tabu kupambana kumbe wenzetu walishaungana na [emoji89][emoji89][emoji451][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ichogal this is very evil of you, hii gari unajua it was kidnapped by al shabaab waalimu wakauliwa in cold blood from the main road, but your using it to fuel your hate here, wewe na devil worshipper hamna tofauti
Sasa kosa lipo wapi?, Kuna athari gani kwa kuionyesha na faida gani kwa kuzificha?, wacheni kupenda kulialia
 
Kwa mfumuko wa bei iliopo ni hatari, ukidhibiti mfumuko wa bei unasaidia maisha ya watanzania wote, kupandisha mishahara inagusa watanzania wachache sana wanaofanya kazi serikalini. Na kumbuka mishahara ikipanda ya hao wachache na bei za vitu huwa zinapanda.
Gharama za lot 3 ya sgr ni matokeo ya mfumuko wa bei.
Naomba kuwasilisha
 
IMF walisema by 2030 China inaweza kuwa Superpower, wewe unasema 2070[emoji23][emoji23], inawezekana wewe upo vizuri zaidi ya IMF, "who knows?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
If at all it will
 
Kwani wachina wote wako equal?wacha maneno
 
Waongeze ata kwa 15% inatosha kwa kuanzia
Tatizo watz wengi walio ajiliwa serikalini hawana akili ya kiuchumi ndiyo maana wanadhani kuongeza mishahara ni akili ,ukweli ni tofauti kabisa jpm alikuwa vizuri kwenye uchumi kwa kuzuia mfumuko wa bei badara ya kuongeza mishahara,
Kuhusu mama kuongeza mishahara kwa asilimia 15 ni ndoto, kama ataongeza mishahara basi ni chini ya asilimia 4 tena hiyo hela atategemea mikopo kuongeza
 
Yani US imekua ni kituko cha dunia, mipango ya kujenga California high speed railway with 1287 km, mipango ya tangu mwaka 1996-2008 walipoanza ujenzi na yet hadi leo mchongo bado upo U/C eti ndio ishindane na china 😂😂😂 👇 . Naomba kuuliza wajameni hizo utajiri mnataja kumilikiwa na US, hizo pesa Huwa wanazitumia kufanyia nini.? 😂😂😂.. eti bros Tony254 The best 007 ichoboy01
 
Hivi sababu kubwa ya mfumuko wa Bei ni kuongeza mishahara ya wafanyakazi wasiozidi 100000 katika nchi ya watu 50M?
 
4% ndio nn sasa watu wengine bana[emoji16][emoji16]
 
Vitu vinapanda kila siku hv kwavile jpm aliwaongopea na nyie mkaona ni sahihi kutopandisha salary...kila kitu kwasababu zake...eti usipandishe salary kisa unazuia inflation huu ni ufala wakumbuambia layman tu ndio atakuelewa
 
Kwani wachina wote wako equal?wacha maneno
70% of pp in China ar living in the cities, hii ni sawa na mara tatu ya wamarekani wote nchi nzima mjini na vijijini.. unataka kuona vijiji vya China .? . . . . Hizi zingekua kwa jirani hapo kaskazini zingekua ni rich people's neighborhoods 😂😂😂 au areas where middle class ar living 😂😂.. na hii ni 30% ya watu wa vijijini huko china. Huna facts kaa kimya
 
Wacha tumuelimishe ndugu yetu Sama boy 255 kwamba China versus USA ni kama Nigeria versus South Africa. Yaani tunachofanya ni kulinganisha nchi mbili ambazo zina uchumi ambazo zina ukubwa takriban sawa ila nchi moja ina population kubwa mara nne ya nyingine. South Africa wana watu 60 million wakati Nigeria wana watu 200 million. Vile vile China ina watu 1.2 billion wakati Marekani ina watu 300 million. Kwangu nachagua Marekani na South Africa kwa sababu wana uchumi mkubwa licha ya kuwa na population ndogo.
 
Hapo number 5 quality of living Chicago amempiga Chengdu vibaya mno. Quality of living tunazingatia kipato cha wananchi na Mmarekani mmoja on average anapata kipato mara tano ya Mchina. Gni per capita ya Mchina ni $9,000 wakati Gni per capita ya Mmarekani ni zaidi ya $50,000. Kipato cha mtu anayeishi Chicago kwa wastani ni mkubwa sana kushinda kipato cha mtu anayeishi Chengdu
 
Wanaobishana eti china ina uchumi kubwa kuliko usa;
Over 70% of the world's dollar billionaires are based in the US. Also 65% of the world's top 100 companies are US companies.

US ni level nyingine kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…