BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Yet they are 10M+Chengdu wako vizuri sana...yaweza Kua ndio Chicago ya China...ila kuna vitu unajua utapata states usivipate china...state itabaki Kua state mkuu,ukipata fursa ya kwenda state ndio utaona tofauti...Chedgu nmesalute wako moto nao sio mchezo
Kwani maji yanajaa baada ya mda gani kwenye bwana ? Japo sio mtalaamu wa mambo hayo nadhani itakua ngumu as long as hawajaaza kujaza maji . Na mvua zetu hizi hazielewekiHata JNHPP inaanza production this year
๐๐๐ Bro china ilishamalizana na hizo mambo, more than 10 most popular cities in the world are now in china including Paris & London ๐Speed yao inashangaza dunia, na cku wakishai overtake US wataipiga gape takatifu ambalo halijawahi kutokea.
Domo domo sio mahali pake hapa, nimeleta information karibu kila eneo, leta information na wewe ili utetee upuuzi wako huoChina ndio iwe level ya USA uchumi wao unafaa kuwa ร5 ya USA,
Ndio walingane,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hapo bado sana kaka we huoniMombasa Kenya View attachment 2064857
Number ambazo hazi reflect ground ndio kitu tunachokipinga hapa, hizo kelele zako za GDP peleka uko kabishane na wadogozakoOne thing mnasahau wamarekani ni 300+M na wana gdp ya $21trillions while china wako 1.4b na wanagdp ya $15trillions tofauti ni kubwa sana tena sana yani mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita kiuchumi.
Ili china iwe super power inahitaji kua na uchumi ร7 ya state ilipo sasa yani wawe na gdp ya atleast $105 trillions vs USA $21trillions...sasa bado wanamiaka mingi kufika uko...kumbuka states wanayo technology na most of world leading billionaires are residing in states
Super power ni uchumi na nguvu za kijeshi, China kote huko anakwenda kwa Kasi Sana, akiendelea hivi ndani ya miaka 20 ijayo, China inayonafasi kubwa Sana kuizidi USA,One thing mnasahau wamarekani ni 300+M na wana gdp ya $21trillions while china wako 1.4b na wanagdp ya $15trillions tofauti ni kubwa sana tena sana yani mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita kiuchumi.
Ili china iwe super power inahitaji kua na uchumi ร7 ya state ilipo sasa yani wawe na gdp ya atleast $105 trillions vs USA $21trillions...sasa bado wanamiaka mingi kufika uko...kumbuka states wanayo technology na most of world leading billionaires are residing in states
Nyani awawezi kuku elewaGDP was a whiteman stick to rude boys all socialist and communist countries were labeled in bias including Tanzania in 80s.
Kwahiyo uchumi wa USA ni mara 5 ya uchumi wa China?China ndio iwe level ya USA uchumi wao unafaa kuwa ร5 ya USA,
Ndio walingane,
Hapo hakuna kitu bora asinge ongeza mishahara ila mfumuko wa bei ungebaki kama kipindi cha jpm maana kwa mfumuko wa bei ulivyo inatakiwa mishahara ipandishwe kwa asilimia 40 je kwa akili ya kawaida ya uchumi wa serikali ya sa100 wanao uwezo wa kuongeza mishahara kwa hiyo percent?Btw mwaka huu ndio tunamalizana na sgr lot 1 n 2...train za umeme...miez 12 haiwez kuisha kinyonge....Pia tutaupata vyema dira ya mh SSH katika budget ijayo ya 2022-2023...mambo ya salary increments ajira mpya nk
Happy New Year wanajamii!Aisee ukimuamsha mtu aliyekufa mwaka 2015 ukamuonesha hii picha atakujibu hiyo picha ya juu Masanja kadogosa yupo SA akisalimiana na abiria alafu hizo picha zingine ni Europe au US au China.View attachment 2064882
50years from today labdaSuper power ni uchumi na nguvu za kijeshi, China kote huko anakwenda kwa Kasi Sana, akiendelea hivi ndani ya miaka 20 ijayo, China inayonafasi kubwa Sana kuizidi USA,
Ichogal this is very evil of you, hii gari unajua it was kidnapped by al shabaab waalimu wakauliwa in cold blood from the main road, but your using it to fuel your hate here, wewe na devil worshipper hamna tofautiww ulitaka kama hiii[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2064854View attachment 2064855View attachment 2064856
Waongeze ata kwa 15% inatosha kwa kuanziaHapo hakuna kitu bora asinge ongeza mishahara ila mfumuko wa bei ungebaki kama kipindi cha jpm maana kwa mfumuko wa bei ulivyo inatakiwa mishahara ipandishwe kwa asilimia 40 je kwa akili ya kawaida ya uchumi wa serikali ya sa100 wanao uwezo wa kuongeza mishahara kwa hiyo percent?
๐๐๐ Eti mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita: aliskika mlevi mmoja akipiga kelele ๐๐ wamerikani wenyewe in their streets ๐One thing mnasahau wamarekani ni 300+M na wana gdp ya $21trillions while china wako 1.4b na wanagdp ya $15trillions tofauti ni kubwa sana tena sana yani mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita kiuchumi.
Ili china iwe super power inahitaji kua na uchumi ร7 ya state ilipo sasa yani wawe na gdp ya atleast $105 trillions vs USA $21trillions...sasa bado wanamiaka mingi kufika uko...kumbuka states wanayo technology na most of world leading billionaires are residing in states
Huwa mko wajinga sana,Kwahiyo uchumi wa USA ni mara 5 ya uchumi wa China?
Asilimia 80 ya gdp ya kenya ni mali ya mabeberu2022 hii wakuu. Kuna vitu inabidi tukubali tupambane kuvibadili. GDP ya Kenya iko juu kuliko yetu, tupambane tuwashinde kukataa haibadilishi kitu.
IMF walisema by 2030 China inaweza kuwa Superpower, wewe unasema 2070[emoji23][emoji23], inawezekana wewe upo vizuri zaidi ya IMF, "who knows?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]50years from today labda
Hakuna 777 hapo, thats an Airbus A330-200Naona wametumia picha ya Boeing 777 japo yetu itakuwa Freighter.View attachment 2064877