Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante sana bro, mwaka huu 2022 ukawe mwema zaidi kwako, more money, more success .. one love .. lakini bila kusahau ni mwendo wa kuipambania bongo mpaka kieleweke
 
Tuko pa1
 
Sijakurupuka mzee, nimefanya research zakutosha, mpaka unaona nimeitaja Chicago ujue sio suala la bahati mbaya, kwasababu nje ya Chicago sijui ningeweka mji gani ambao at least ungewezana na CHENGDU
Chengdu sio chochote kwa USA inatisha kwa miji yetu yakijinga uku Africa
 
Angalia hio picha vizuri. Mnaimport sana kutoka Kenya kushinda mnavyoexport kuelekea Kenya.
Hahahaha, hahaha, hahahaha
Tanzania ndio dume la mbegu ukanda huu, tunawapanda kichwani wote, mnatumia bidhaa za Tanzania kuanzia "Bongo Flavor", Chakula, Cement, Juices and Energy drinks, karatasi, mbao, nguzo za umeme, transforma za umeme, mafuta ya kupikia, Ceramics, Konyagi, Wines, .........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli mchungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chengdu sio chochote kwa USA inatisha kwa miji yetu yakijinga uku Africa
Kutana na infrastructures in CHENGDU ambazo sio tu Chicago ila huwezi kutana nazo US nzima πŸ‘‡ Chengdu international airport . Pitia review za watu mbali mbali in CHENGDU international airport πŸ‘‡. . NB: chengdu has Two international airports.. chengdu subway πŸ‘‡ . Halafu uko hapa kitaja miji ya Africa πŸ˜‚πŸ˜‚ you must be crazy
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Nimependa ......... Dume la mbegu. ............ Tunawapanda................. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwahiyo huo mji wa China unaifananisha na mji upi Africa hii? Hivi Kwanini watu hamna hata mshipa wa aibu?

Kwenye uelewa mpana wa mambo tutasitiriana ila hata kilaza wa mwisho huwa na aibu ndio maana haendi uchi πŸ˜‘
Hawa jamaa leo wameniacha hoi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .. eti mtu kisa jealous tu anasema eti chengdu ni sawa na miji ya Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. jinga kabisa
 
Alafu mtu anakwambia hayo co maendeleo, ss kama hayo co maendeleo tunafanya nn hapa kwenye huu uzi, mana 24/7 tunapost mambo yanayofanana na hayo tuki claim kwamba tunaendelea.
Itabidi tuwaulize watuambie maendeleo ni nini...? na sisi tupo hapa kufanya nini.? Mana 24/7 ni kupost barabara, reli, majengo mazuri ya kupendeza n.k.. sasa ikiwa hivi vyote sio maendeleo tunafanya nini hapa.?
 
Jamaa anauwezo finyu wa kuanalyze mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…