Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hahah, mbona ni mfano huohuo mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wamewazidi kenya lakini bado wako category ya lower middle income tu kama Tanzania tofauti lazima iwepo kulingana na wao kukutangulia katika eneo hilo ,bado hawajavuka lakini wametuzidi vingi
wao wapo upper middle ni tofaut na sisi pamoja na kenya sisi tuko lowe middle tofaut ni kubwa sana
 
Umezungukia pale pale
 
Wanazinguliwa na Jina na Wanayolishwa na wazungu wao, North Korea inakimbiza nchi kibao pamoja na ma negative yote kuhusu wao.
North Korea inazidi nchi nyingi za ulaya ni siasa chafu za marekani ndio zinatengeneza propaganda chafu dhidi ya Pyongyang, cha kushangaza hawa jamaa wana 5$ billion external debt only, maana yake miundombinu yote, technology na maendeleo wamejiletea wenyewe kwa nguvu na uwezo wao binafsi lakini IMF inakuambia Uganda imeipita mbali sana North Korea kiuchumi 🤣🤣🤣🤣
 
Sio Uganda tu, kwani hiyo kenya yenyewe inamshinda nini DPRK? 😂😂😂😂,GDP ya DPRK si ndogo kuliko GDP ya Nairobi?



DPRK GDP




HAYA MTUAMBIE NANI ANATEMBELEA KICHWA HAPA🤣





















GDP my foot🤣🤣🤣🤣🤣
 
ebu leo tulete miradi (mega projects) ambayo ipo under construction kati ya Tanzania na Kenya

naanza na hii ya Tanzania
  • BRT phase 2
  • SGR lot 1, lot 2, lot 5
  • JNHPP
  • Msalato International Airport
  • JPM bridge
  • Tanzanite bridge

kule kenya naujua mmoja tu wa mchina.. ile express road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…