Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heshimu sana huu mzee ideology zake zitaishi miaka na miaka!!!jiulize ni Marais wangapi ambao wamepikwa Tanzania na kwenda kuongoza nchi zao ndani ya Afrika wakiwa wametokea Tanzania!!! jiulize juu ya salsafa zake na mitazamo au maono yake ya mbali!!!, jiulize ni marais wangapi Afrika wanaongea kiswahili fasaha na jiulize kwa nini hawaongei ki kikuyu au kiluo!!!!endeleeni kubusu matako ya wazungu maana ndo mmepakana nao!!!kutwa kujipendekeza enzi na enzi!!!
 

kila leo mnalia eti kenya kuna vipanya. hapa ni Jo'burg. hebu toeni hizo zenu critics kwa nchi ilio na uwezo zaidi africa nzima
 
We eka tako hapo ulitulize SGR yenu treni zinaanguka na kukwama huko kila siku .. subiri wanaume tulete vitu vipyaa, sie hatuna haraka mradi ni wetu wenyewe
Wewe ukiwa na gari lako na halina shida yoyote inamaanisha hauitumii... a breakdown ni jambo la kawaida, na linakubalika, shida ni kutorekebisha hilo kosa...
Ati hamna haraka...you are just proving the "Tanzania lazy" stereotype.
The capitalist mindset teaches you that time is money
 
We eka tako hapo ulitulize SGR yenu treni zinaanguka na kukwama huko kila siku .. subiri wanaume tulete vitu vipyaa, sie hatuna haraka mradi ni wetu wenyewe

Mimi siwezi kuamini...inaeza kuwa ni model ya 2014 imepitia pale TTTR wakaweka body ya 2022 mbona niamini 🤣🤣
 
Sijui unaongea nini, sisi tuko na 4 phases U/C alafu upo hapa kupayuka, vipi bwana.? Mko na upumbavu sana nyie Wakenya
 
Akili za kijinga sana, yaani tuanze kushindana na vitu vilivyoshindwa kisa eti ni South Afrika? Pumba kabisa hii.
Niujinga waliozaliwa nao Wakenya, eti USA kukiwa na slums basi kwao wanaona Slums co shida, US wakiweka sidewalks katikati ya barabara nao wanaweka bila kuzingatia usalama wao ambao ni mdogo kulinganisha na first world country.

Yani Wakenya tumewapa darasa kubwa sana ingefaa watulipe.
 

I agree with you beki wetu mkabaji na mshambuliaji…….hawa jamaa wana ujinga mwingi sana, yaani western civilization imewapumbaza sana alafu wakadhani wanajua, then wakakutana na sisi ambao tupo……usione wapo humu hawatoki, wengine ndimo wanapotatia hoja za kwenda kuchapana na ndugu zao huko Twitter alafu wanaonekana magenius kumbe wamechapwa humu[emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…