Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda msomali akusaidie chakula kapuku wewe [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Omba omba wawe wa Tanzania, na hawa wa Karia dudu mchana kweupe pia Wazaramo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hawa watu wanapenda kujipa maujiko [emoji1787].
 
uhehehehhehe umeumia kuskia vitu kama hvi vipo mwanza 3 yrs ago now 😂😂😂 nyinyi ndio kwanza munaanza
 
Watu wa Karia dudu muda wote kukalia dudu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Huo mlango wa frame sijui Dirisha hilo kama mlango wa nyuma wa Bus flani. Bora mlango wa Duka la Mangi.
Ikipitishwa kwenye dressing table huo mtaa utafanana na Paris 😂😂😂😂

Kumbe ni kwa wauza uroda wa jerojero wa kaliadudu 😂😂😂 angalia kwanza walivyo choka na serikali ya Uhuru 🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Kila siku wanafananisha Eastleigh na London halafu leo wanawakashfu wenye Eastleigh yao wanakati ndio waajiri wao 😂😂😂😂
Haya makaria dudu hayajielewi 😅😅😅
 
Ajabu kweli, eti mkenya anabeza Tz miradi kuendesha na mkopo ilihali mradi wenu mkubwa kwasasa ni express way ambayo ni mali ya mchina for 39 good years, SGR n.k .. Dar itself iko na miradi mingi ya maendeleo kuliko kenya yote combined.. usichokijua ni kwamba DSM tunavyoongea sasahiv tuko na miradi mikubwa mingi mno .. kuna Flyovers 4 U/C, BRT phase 2 👇daraja la sarenda 👇upanuzi wa bandari, na miradi ya barabara kila kona .. eti miradi iko stagnant ilihali kila mwezi tunawka updates za miradi ya SGR phase 1 &2 kwa pamoja, ujenzi wa bwawa la umeme kila leo update zinawekwa humu, miradi ya ujenzi wa mji wa serikali juzi kati tu tumeweka taarifa za ujenzi wake .. au mzee kwasababu ya uchizi na Roho mbaya yako ndio vinakufanya ujifanye vyote hivi huvioni.? Basi kutakua na maana gani ya kujibizana na tahira kama wewe.? Hii thread sio mahala pako babu nenda kabishane na walevi wenzako vijiweni uko.. hatuwezi kuwa tunarudia rudia kusema vitu vilevile kila leo .. nenda kaoshe matako wakupake mafuta
 
Nairobi ndio inakuweka mjini we bwege, acha mbwembwe nyingi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila ya nairobi huna kazi mdanganyika
 
Nenda Eastleigh huwa wanatoa vibarua vya kuwafulia nguo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao wanatoa vibarua watu wameandika wafanyikazi wa ndani[emoji1787][emoji1787]
Narudia tena, hakuna msomali tajiri likija swala la matajiri kenya labda waungeunge sana[emoji1787][emoji1787]

Wakenya sio vilaza na wazembe km watz bana mnaachia mtawaliwe na machotara
 
Eastleigh ni kwa nani? Wa Somali na wa Sudan ndio wenye Kenya we mama 😂😂😂
 
Deni la trilioni 70 sabini tayari nchi ipo hoi mpka mnafikia pa kupigwa mnada[emoji1787][emoji1787]
Tz mafukara sana
 
Eastleigh ni kwa nani? Wa Somali na wa Sudan ndio wenye Kenya we mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Emu rudia tena hicho kilio chako[emoji1787][emoji1787]
Wa somali na wa sudan wa wapi vile..
Watanzaniaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…