Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahhahaaaaa wa TZ wamepa hoja mpaka unatumia matusi pole.. Punguza hasira kula sukuma wiki sana nasikia inapunguza makasiriko yasio na sababu.
Wenye njaa ndio mnatamani sukuma wiki.
Upumbavu sio matusi jifunze kiswahili.
Wapumbavu ni wale waliokosa chakula wakapewa bia kupunguza njaa, alafu wakapigana kugombea bia ili wasife kwa njaa.
 
mama kasema atakopa haogopi maneno ya eti tunakopa sana.. nimependa hio .. ila mikopo iende kufanya kazi kweli.. sio kuingia mifukoni mwa wanasiasa kama huko kenya
Kwahiyo wewe mpumbavu unapenda pesa za ndani zichezewe na wahuni,kisha tutegemee mikopo kujenga nchi[emoji107][emoji107]
 
Hahahhaaaa nimewagusa panapouma ee?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbona uionee aibu taifa lako Tanzania ata kama ni fukara? unajitia eti Munyarwanda., usi ionee aibu taifa lako masikini, siku moja mtafika tu.., jivunie hiyo BRT angalau ikuondolee aibu zilizo jaa Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ama wewe ni wa mashambani ata hiyo Dar unaiyonea tu kwa mitandao na kuhadithiwa?., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wenye njaa ndio mnatamani sukuma wiki.
Upumbavu sio matusi jifunze kiswahili.
Wapumbavu ni wale waliokosa chakula wakapewa bia kupunguza njaa, alafu wakapigana kugombea bia ili wasife kwa njaa.
So wapumbavu ni kama wale wanaokaa siku nzima JF kuongelea kuhusu matatu ni safer than DART alafu wanataka waonekane wana akili? Mtoto wangu ako miaka 4 ila kako na common sense kukuzidi.
Natamani ningezaliwa Tanzania taifa ambalo lina historia kubwa taifa ambalo ni ndoto ya wengi wetu kuishi sehemu kama Tanzania na hata wa Kenya mkiwa included. Ubepari wenu uliokisiri unawafanya muishi kwa woga mda wote maana vitu vilivyo vingi na vya muhimu vinamilikiwa na wachache vitu kama Ardhi. Ukiongea na watu wa East Africa utagundua wa KE ndio wanataja neno "LANDLORD" mara kwa mata Kuliko mtu mwingine.. na huo ndio uhalisia wa maisha yenu.
 
🀣🀣🀣🀣Mkunya utamjua Tu hakuna MTU mwenye muonekano wa kukomaa popote pale kama hawa jamaa,kama an uzuri wa Sura roho ngumu na mbaya nafanya NAO miradi kazaa so nawajua🀣🀣🀣🀣
 
Since our ostritches from the South want to pretend prostitution is a shocker to them, today I'll dedicate on showing you the prostitutes they chew down there. Hata wanafunzi huko ni makahaba.


Na hawa je? Mtu akicheka Makahaba wa Luthuli utadhani wa kwao wanaishi London. Alafu wanajiuza for Tshs 200. Wakenya wenzaku yani ten bob ushapata kvma pale Buguruni.🀣🀣🀣


 
Financing model ya hii lot 3 ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzanians on this thread pretend like they live in a Utopian community. πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜‚
Tunajua shida ni their media is always gagged hence creating an illusion that they live a perfect life.
 
Kwahiyo wewe mpumbavu unapenda pesa za ndani zichezewe na wahuni,kisha tutegemee mikopo kujenga nchi[emoji107][emoji107]
Awamu ya tano ndio iwamu iliyoshamiri sana katika sekata ya upigaji licha ya mapambio ya hela ya ndani..

Alafu akili yako finyu kweli, kwhyo wewe ukichukua mkopo sile savings zako unazitumia kula bata zote kisa umekopaeee...

Typical danganyikani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…