Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let's wait for his answers 😃
 
Huaga mnaumia mnapoona matatu culture kenya imeshamiri[emoji1787][emoji1787]
Eti led karne hii watu tayari wameanza kunengua wakati hku kwetu ni kawaida mpka hata hazishughulikiwi
Ni kweli imeshamiri Ila investors Wana enjoy 😃what about the commuters? Is it safe and reliable to them?
 
Mnaumizwa sn na maendeleo ya Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkiambiwa yukweli mnasema tunaumizwa. Kwani nani nani hakuona mkiashangilia LED lights mounted on your vehicles?😂😂😂
 
Ni kweli imeshamiri Ila investors Wana enjoy 😃what about the commuters? Is it safe and reliable to them?
You wuill never see a passenger standing on matatu na kufinyana kama gunia like in the case of your dalala and BRT. The only thing BRT inashindia matatu is that they are not affected by traffic jam.
 
You wuill never see a passenger standing on matatu na kufinyana kama gunia like in the case of your dalala and BRT. The only thing BRT inashindia matatu is that they are not affected by traffic jam.
Umeelewa nilicho kiuliza au umekurupuka kujibu?
Watu kusimama kwenye public transport system IPO Kwa cities nyingi worldwide!
Nakama matatu ni Bora kuliko brt why are you dreaming about having one?
 
Umeelewa nilicho kiuliza au umekurupuka kujibu?
Watu kusimama kwenye public transport system IPO Kwa cities nyingi worldwide!
Nakama matatu ni Bora kuliko brt why are you dreaming about having one?
BRT is not affected by traffic jam. That`s the only reason.
 
Tanzania will be in the list of only 8 countries in Africa to have universal electrification in Africa, Kenya will join this list in 2040 if god wishes
Tony254
Don YF
Uongo . Wewe na ichoboy01 wacheni uongo. Kenya sasa hivi inaproduce 3,000 MW. Uganda inaproduce 1,500 MW. Total Uganda na Kenya tunaproduce 4,500 MW. Tanzania baada ya kuzindua JNHPP itakuwa inaproduce 3,700 MW.
 
BRT is not affected by traffic jam. That`s the only reason.
Khaaa we Jamaa sometimes Una nishangaza!🙄🙄🙄
Is matatu safe? Is it build with passengers safety in mind? Is it reliable? and why is Nairobi investing in brt as the future mode of transportation?
 
Khaaa we Jamaa sometimes Una nishangaza!🙄🙄🙄
Is matatu safe? Is it build with passengers safety in mind? Is it reliable? and why is Nairobi investing in brt as the future mode of transportation?
Matatu is much safer than your BRT, how many times have you had that Nairobi matatu has got an accident as compared to your BRT? How many times have you seen a Nairobi matatu bust into flames the way your BRT does on a regular basis?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…