Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya tuambie umeona nn na nn?? mm naona kinondoni na CBd haya ww niambie umeona nn na nn????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kama unajidanganya bado kijitonyama hujaiona vzr hapo hio ni kinondoni area + CBD
So Morocco siku hizi haipo Bagamoyo road inayopita katikati ya kijitonyama? Kwamba hapa si kijitonyama?
 
Akina Geza Ulole . Nakumbuka vizuri sana. Ni mimi nilikua nawaambia Gap inaongezeka.In 2004 walikuwa na GDP Kubwa kuliko Kenya, 2005 tukawavuka and since then the gap has been increasing. Hawaoni. [emoji1787][emoji1787]
Ni mtu mpuuzi asiyetumia akili ndiye anaweza kuamini upuuzi wa kuamini kwamba gap inaongezeka wakati uchumi wa TZ unakua kwa Kasi ya 7% wakati Kenya ni 5%, kichaa pekee ndiyo ataamini kwamba gap inaongezeka[emoji23]
 
Yani hawa wakenya me wananichekesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ imekua ni kawaida yao kurudi nyuma kimaendeleo karibu kwenye kila kitu badala ya kwenda mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ..ona mfano hizi high speed rail roads zilijengwa na kuwa electrified tango 1980s uko Ulaya πŸ‘‡ona kitu kikali mixer nyoka huyoalafu miaka 40 baadae (baada ya mapinduzi makubwa ya viwanda na technology kukua zaidi) eti wakenya na wao wakajenga kitu cha diesel πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie jamaa muache kujifanya ni time travellers bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani dunia inakimbia mbio mbele, nyie mnarudi nyuma mbio nyingi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. bhana eeh bro Simon njoo useme nao
 
sio wanajenga wamejengewa na wachina kwa mkopo mkubwa wenye riba ya commercial alaf hao hao ndio wanakeambia wamesoma 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 tena mbaya zaidi mlevi nae anapeperusha bendera
 
These people are time travellers, they travelling back in time πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Halafu tunabishana nao kuhusu future, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Eti na wao ni wasomi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,
 
60k capacity stadium umehesabu vipi wkt hakuna seats [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Indoor Arena ipo Dar ishawekwa humu mkasema ni tent.

Ya zamani ipo pale uwanja wa Taifa na mpya ya kisasa ipo pale Haile Selassie Road.

Hii ni ya zamani pale uwanja wa Taifa




 
Unajua English mbwa wewe umeshindwa ku comprehend hata phrase "receipts" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Two weeks ago [emoji1787]. Msikilizeni Mkulungwa [mention]ichoboy01 [/mention] kuhusu maneno ya wa K [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Na Bado watakuambia Mombasa ina Dollar Millionaire kuliko Dar, Kumber Dar ndio ina Millionaire wengi kuliko Nchi yao nzima [emoji1787]
 

Hii vitasa anavyopewa huju Bwana ni noma sana [emoji1787]. Kuanzia β€œ Receipts β€œ na Sasa β€œRamp” anakula darasa tu bila Ada[emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Sasa lia pole pole na uamini expeessway haitwahi kua Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…