Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatimae kipoison imekubali kiroho safi kwamba haiwezi chochote mbele ya Arusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
So Sisi Kenya huwa tunaongea kizungu to communicate with other tribes? Nkt! You sick.. what I ment Ni it was not done the official trading language Hadi Shule wanafunzi kufunzwa nayo and you Tanzanians think you speak good Swahili wakati 59% imeathiriwa Na lugha zenyu za mama Most Tanzanians can't say Li they say Ri nkt
 
Yamepoteana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Nawakaribisha Dodoma sababu naona wanaleta dharau

Kwa hiki kipigo ulichotoa baba shikamoo, wakirudi watarudi na adabuโ€ฆ..yaani ufananishe mji wenye daladala za baiskeli na jiji ambalo lilimtoa โ€˜ushambaโ€™ hadi Rais Clinton? Ngoja miradi yetu iishe baada ya miaka 3-5 watakuwa wanashindanisha kapoison na Shinyangaโ€ฆ..[emoji28][emoji28] hongera sana Mkuu, umetuheshimisha vilivyo[emoji1477]
 
Kwa picha hizi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ