BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,051
- 2,548
Says a person mwenye nchi mzima mybe hakuna service lanes!!!12 lane unahesabu na njia za kuingia na kutoka au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
As usual, no evidence just plain and stupid words. If you come to Kenya and hear kigiriama language you will mistake to kiswahili. So there's nowhere the researcher will mention Mozambique tribe just to appease them. Kiswahili is a Kenyan language with arabic loan words. Lamu town is the oldest Swahili civilization๐๐๐Hahahaha, wacheni kujidanganya, wakenya kazi yenu ni Domo kubwa, Kiswahili kilizaliwa Tanganyika, kikalelewa na kukulia Zanzibar, kikaenda Kenya kikaanza kuugua. Wacheni kupoteza muda Kiswahili ni lugha ya Tanzania. Ukijaribu kuuliza nani aliyetoa hizo taarifa za Mijikenda na Taita, lazima atakua ni mkenya[emoji23][emoji23][emoji23], kwanini asitaje kabila hata Moja la Somalia, Tanzania au Mozambique?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kanakaa malindi [emoji1787]The best 007 anachoma nyumba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2050104
Msikilize mkenya mwenzio, the rest kalilie twitter [emoji116][emoji116][emoji116]new York size is 783 km 2.........I know arusha very well....nothing out of the ordinary......we aren't talking about administrative Arusha but the rugged arusha town......there are grass thatched houses in arusha province
Still Kenyan language, Nyerere aliwadanganya ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐Ila hawa jamaa wana vioja sana kuna huyo taahira mmoja kaleta mada eti kiswahili ni lugha ya Kenya, yet 70% of Kenyans are speaking neither kiswahili nor English ๐๐๐ vitu vya ajabu kweli yani.. halafu wako hapa kupiga kelele eti Tz iko na level kubwa ya illiteracy.. The best 007 we unamzungumziaje ndugu yetu mkenya
Hebu tuongee kiswahili mimi na wewe.As usual, no evidence just plain and stupid words. If you come to Kenya and hear kigiriama language you will mistake to kiswahili. So there's nowhere the researcher will mention Mozambique tribe just to appease them. Kiswahili is a Kenyan language with arabic loan words. Lamu town is the oldest Swahili civilization[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2050139
Usifananishe malindi na ujinga๐คฃ๐คฃ๐คฃkanakaa malindi [emoji1787]
Sisi tunatumia hesabu kusema tunayo sema wewe unatumia macho tuMmmmh mkuu hapa naomba nipingane na wewe. [emoji23][emoji23][emoji23]
SGR ujenzi unaendelea tu vizuri, nilipita Dodoma juzi ujenzi unaendelea vizuri tu na mkandarasi yupo site.
Embu basi tujaribu kupinga na kukosoa kwa kutumia facts.
KENPAULITE alishamaliza [emoji116][emoji116]Says a person mwenye nchi mzima mybe hakuna service lanes!!!
Kwani Ni murrum road iyo!
Wakenya mbona huwa mnawaste time yenu kubishana na hii ngamia jinga Ichoboy sijui samaboy!!!
Jikite kwa mada๐คฃ๐คฃ๐คฃHebu tuongee kiswahili mimi na wewe.
Haipingwi iyo broMkuu Sama boy 255 inabidi mm na wewe tuonane aisee, kuna Watz inabidi nionane nao mfano joto la jiwe babayao255 ichoboy01 NDINDA Lwiva Geza Ulole Mkwanzania xng hua Lusematic chongchung Justinr game over Naton Jr etc ambao wanapambana sana kuing'arisha Tz, heshima kwenu wakuu [emoji119][emoji119][emoji119]
Have the Current view ๐The best 007 anachoma nyumba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃView attachment 2050104
Ila we jamaa ni kilaza sana kwahyo hii ndio fact yako.? Yani umeenda tu google uka search alafu eti ndio fact ๐๐๐ we ulishawahi kuhudhiria hata darasa moja...? Zipo research kadha wa kadhaa kuhusu kuhusu kiswahili na conclusion ni kwamba kiswahili ni kiunguja .. wasiseme waarabu kumiliki kiswahili useme wewe wa mombasa.? ๐๐๐ Ambae kiswahili kilikufikia baada ya sisi kufanya biashara na merchants wa uko.? Sikiliza mzee kitaaluma nilikaa darasani kusoma kiswahili mpaka advance, yani kuanzia chekechea mpaka form six, mlevi kama wewe nakudharau tuAs usual, no evidence just plain and stupid words. If you come to Kenya and hear kigiriama language you will mistake to kiswahili. So there's nowhere the researcher will mention Mozambique tribe just to appease them. Kiswahili is a Kenyan language with arabic loan words. Lamu town is the oldest Swahili civilization๐๐๐View attachment 2050139
mtanyooka tu.....Kisumu YuropView attachment 2050054View attachment 2050055
You ar still very wrong of thinking kisumu slum is this little.. take a look ๐Av been always thinking slums are only in Nairobi , kumbe I was wrong [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2050177
No evidence just plain words, fact still remainsIla we jamaa ni kilaza sana kwahyo hii ndio fact yako.? Yani umeenda tu google uka search alafu eti ndio fact ๐๐๐ we ulishawahi kuhudhiria hata darasa moja...? Zipo research kadha wa kadhaa kuhusu kuhusu kiswahili na conclusion ni kwamba kiswahili ni kiunguja .. wasiseme waarabu kumiliki kiswahili useme wewe wa mombasa.? ๐๐๐ Ambae kiswahili kilikufikia baada ya sisi kufanya biashara na merchants wa uko.? Sikiliza mzee kitaaluma nilikaa darasani kusoma kiswahili mpaka advance, yani kuanzia chekechea mpaka form six, mlevi kama wewe nakudharau tu