kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,268
- 5,418
Hiki kiwanda kipo Kenya?
Kuni sahii tuko karibu kuzireplace zote. Mko nyuma kama kawaida. Dar hata mulika mwizi hakuna. 🤣🤣🤣🤣
Tuwapelekee Baba levo wao akawasifie pia 😀😀Mm nikuongopee wewe napata faida gani. Hapa nimechanganya mjini na vijijini kote huko mnatumia nguzo za miti mpk wa leo.
View attachment 2046355View attachment 2046356View attachment 2046357View attachment 2046358View attachment 2046360View attachment 2046362View attachment 2046371View attachment 2046372
Onyesha video watanzania wakilalamika kufungwa kwa biashara na kufukuzwa Kenya, tukisema wakenya bila Tanzania uchumi wenu unasinyaa Huwa mnabisha, Kenyans need Tanzania than otherwise.
inaitwa unzoomed eastatetunataka Jina ya hii estate........View attachment 2046390
Mfano ndege chakavu na ndege mpya,Ila kuna Watz ni ******* sana.
Hivi Tanzania ina space program? Maana Kenya inayo. Pia wakenya wamesha-launch a nano satellite into space. It’s orbiting Earth as we speak, and the whole project cost less than $2 million. Tanzania inashindwa wapi? Mbona hii nchi imelala kiasi hiki? What went wrong??Bone marrow transplant tu inawashinda mbwa nyie plus njaa inayowasumbua miaka nenda rudi.
Huwezi kuwa bora kwenye kila kitu mzee, sisi tuliamua kuwekeza kwenye Afya na miundombinu (reli, anga na barabara) zaidi na ndio huko tutakua bora zaidi.. hayo mambo mengine tutayafanya sio kwa kubahatisha bahatisha kama waoHivi Tanzania ina space program? Maana Kenya inayo. Pia wakenya wamesha-launch a nano satellite into space. It’s orbiting Earth as we speak, and the whole project cost less than $2 million. Tanzania inashindwa wapi? Mbona hii nchi imelala kiasi hiki? What went wrong??
Niliongea juzi tu hapa kuhusu uhitaji wa wataalamu wengi zaidi nchini. Na nikatoa suggestion ya exchange programs za vyuo vyetu na vya nje ya nchi, au at least joint educational programs. Haya, wenzetu wanashirikiana na foreign universities ku-launch satellites huku sisi tupo usingizini. Why? Ndio Maana hata kwenye innovation index bado wanatupita.
Kwa hiyo wao Ndio hawajawekeza kwenye afya na miundombinu? 😂😂Huwezi kuwa bora kwenye kila kitu mzee, sisi tuliamua kuwekeza kwenye Afya na miundombinu (reli, anga na barabara) zaidi na ndio huko tutakua bora zaidi.. hayo mambo mengine tutayafanya sio kwa kubahatisha bahatisha kama wao
Acha kuwa mpumbavu hivi ni vitu ambavyo vipo miaka nenda rudi hapa Tanzania, tangu nikiwa mtotoVery soon hawa watz wataanza kuturingia na mambo ya virtual weighbridges, which currently are on operation in KenyaView attachment 2046812View attachment 2046814
[emoji23][emoji23] ebu leta moja uone wewe ndio mpumbavu sahiiAcha kuwa mpumbavu hivi ni vitu ambavyo vipo miaka nenda rudi hapa Tanzania, tangu nikiwa mtoto