Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wee ni makwapa yako ulichunguza
 
Can Dah be this beautiful? All you think about is concrete, concrete without remembering the benefits of a green city like cooling down the city and beauty
 
Kawaida ya mitanzannia lazima upinge kitu kiko wazi sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jitekenye dogo., nawaelewa, ila mtanyooka tu.,
 
Tis the season, lot of Kenyans travelling domestic, Tz have only 3 aircrafts in the sky 1 Bombadier to Mwanza and 2 Cessna grand caravans za kwa parks

View attachment 2045825
Nili itisha flight data wakakwepa., wanajua huu πŸ‘‡ πŸ‘‡ ukweli nikujitia hamnazo tu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , kudanganya dunia ya leo si rahisi..,
 
Kawaida ya mitanzannia lazima upinge kitu kiko wazi sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jitekenye dogo., nawaelewa, ila mtanyooka tu.,
Hivi Kati ya mimi na wewe nani analazimisha Black kuwa white.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijapata kuona watu wakaidi kama nyinyi wapumbavu wa kikenya, yani kabisa unakaza tako kulinganisha Kisumu na Arusha.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. u must be fucking crazy tena unapiga kelele eti Kisumu ni zaidi ya ARUSHA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kama mpo kwenye discussion hii ili kila mada mshinde hapo nimewanyooshea mikono juu πŸ™ŒπŸ™Œ .. Ila hapa πŸ‘‡ ulipita kimya kimya
Me huwa nafurahi tu, .. leta majibu hapa
 
Nili itisha flight data wakakwepa., wanajua huu πŸ‘‡ πŸ‘‡ ukweli nikujitia hamnazo tu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , kudanganya dunia ya leo si rahisi..,
View attachment 2045931
Ukitaka kujua ukweli wa hii kitu pitia ratiba za Air Tanzania pekee uone ndege zinaruka daily, hizo ramani za kujifurahisha kama ndio unataka, we endelea nazo pia haukatazwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi mwenye anasema Arusha imeizidi Kisumu na mwenye anasema Kisumu imeizidi Arusha nani mwehu? Arusha ligi yake ni Eldoret, hata Nakuru hamuinusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…