Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawapendi kusikia hii maneno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nashangaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me hata sijui TV stations za bongo, hata one news anchor simjui.

Ndio nimejua kumbe Víctoria Rubadiri alishinda Komla Dumor award. Yani wanatufuatilia hata kutushinda sisi wenyewe.🀣🀣
 
This goes to show how stupid you can be lakini, wewe utabaki tu keyboard warrior, na hio west africa unaiongelea have higher IQs than you, wewe unareasob kama mtoto sana, mbaguzi kabisa
Mm nikiwa porini nikakutana na simba alafu mkunya yuko pembeni kwanza naua mkunya alafu Simba tutajuwana.
 
noma sana,achana na hao chokoraa wakikenya,hawajawahi tembea
 
Mtumwa ndio hufuatilia Master Bradhee.[emoji1787][emoji1787]
It's the other way round kijana... Ndio maana unaona Bongo haitumii kelele nyingi Wala nguvu kubwa. Inajua pale pa kufinya tu in right time na mambo yanaisha kimya kimya hata kabla hamjaanzisha... Au umesahau kichaa chenu cha kulia lia na kususa vile tunamaliziaga tu ngazi ya wilaya au mkoa? [emoji23]
 
Hats off... Hiyo summary ya Jeff umemaliza.. Jamaa ni mweupe sana. Ila anavyojikutaga Sasa na kingereza chake cha kujidai ni M-Britons [emoji1787][emoji1787]
 
Hats off... Hiyo summary ya Jeff umemaliza.. Jamaa ni mweupe sana. Ila anavyojikutaga Sasa na kingereza chake cha kujidai ni M-Britons [emoji1787][emoji1787]
Huyu jeff mmoja anajulikana dunia nzima vs watu wa vijiweni hahaha, wenda wazimu ni wengi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…