Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi sio katikati ya Kenya yet 60% ya inter-county roads hazipo paved

 
Online shopping ndiyo sasa wako hovyo kabisa. Even Jumia closed their operations in Tanzania.
Ni mifukara kwa wingi, watu wa mihogo na maharage what do u expect?, hard for serious businesses to thrive, wamejengewa masoko lakini bado wanapanga bidhaa kando ya mabarabara, can't u see their gospel and secular artist wanavio tiririka huku ili kutengeneza hela.., going deep even to a town like Malindi na watu wanajaza show zao paid in full..,
 
Kama Kuna mkunya mwenye ubavu anioneshe barabara ya lami ya Mombasa to Lokitaung πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mombasa to Malaba yote ni lami.
Namanga to Moyale yote ni lami. A country with barabara za lami ya 21,000 km itakosaje lami ya 500km. Sazingine tumia akili ya kuzaliwa.
Nimesema toka Nairobi! Pimbi wewe!
 
Mombasa to Malaba yote ni lami.
Namanga to Moyale yote ni lami. A country with barabara za lami ya 21,000 km itakosaje lami ya 500km. Sazingine tumia akili ya kuzaliwa.
Nimesema toka Nairobi! Pimbi wewe!
 
The level of excuses they are flaunting here is sickening. Eti wao hufanya shopping kwa maduka! Kwani Kenya ndio Hakuna maduka (shops)?
 
Kama Kuna mkunya mwenye ubavu anioneshe barabara ya lami ya Mombasa to Lokitaung πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Personally have never heard of Lokitaung! iko county ipi? ama umechukua jina ya ka location?.., kama ni Turkana, lami imeunganishwa., toka Isbania border ya Tz hadi Turkana county, from Mombasa to Turkana Via Nairobi, Nakuru through Eldoret all the way..,
 
Nioneshe barabara ya lami Mombasa to Lokitaung πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lokituang is just a settlement in Turkana county according to google., kumbe wewe ni mjinga size ya mbuzi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., Turkana county iko connected na lami wacha ujinga..
 
Lokitoung is in Turkana County. The guy thinks there's no paved road from Mombasa to Turkana county πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…