Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

300 acres of stalled project 🤣🤣🤣🤣 mind you embakasi estate alone is 960 🚮🚮
 
Usijifurahishe kijana tupo hapa kulinganisha estate za middle class na ndio mana mimi sijapost kibera wala slums zenu zingine .. mbona huwa hampendi Fair comparison.? Nini shida.? Ni ukweli mtupu kwamba mahali wanakaa middle class kenya ni cheap apartments
 
Vi apartments vya bati nyekundu juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao 😂😂😂
 
Ss ukitaka battle ya maeneo mabovu ndio utakimbia, ww shikilia kwenye vi apartments vya bati nyekundu juu basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena mwambie atulie tuli, akaze kamba uko uko kwenye apartments zao cheap huu mziki wa maeneo mabovu ndio hauwez kabisa atakasirika, mana uko kwao watu wanaishi kwenye nyumba za mabati kama ndege 😂😂
 
Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Keep consoling yourselves
 
Wasichokijua ni kwamba suala la apartments DSM ni kitu cha thamani, hatujengi tu hovyo hovyo, nyumba cheap na ambazo hazina madirisha kama kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wanaona tunakaa kmy basi wanadhani hatuna apartments, cc tunajenga kote kote, isitoshe wao vi apartments vya bati nyekundu juu vipo tuu Nairobi, cc zipo Dar, Zanzibar, Moshi, na Dodoma.
 
Utafsiri wa ramani.

Kabisa... unataka kusemaje rafiki.
Aliyekuambia kwamba scale inayotumika on a higher altitude ni tofauti na inayotumika on a lower altitude ni nani? Eti Kwamba Kilimani paonekane pakubwa kwenye map when in real sense ni padogo on the ground simply because it's on a higher altitude na sehemu hapo Dar paonekane ni padogo kwenye map wakati in real sense ni pakubwa kuliko inavyokadiriwa kwenye map just because ni lower altitude. Hii ulisoma wapi ndugu?

Mimi ninavyojua ni kwamba scale ndio inadetermine ukubwa au udogo wa eneo kwenye map. Hii ya lower altitude na higher altitude nimesikia hapa na leo
 
Kwahiyo kilimani ni kubwa kuliko Dar, hivi unajisikia upuuzi unaoongea wewe jaluo?
 
Dar kuna middle-class zaidi ya hizo changaduo za uswazi mnazoita dreamhouses?
 
Usiku mwema wakuu, Wakenya poleni kwa maumivu ya leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikama hamna malls kwa suburbs kama kigamboni au kimara , basi tuonyesheni supermarkets za mtaani kama hii hapa. 😂😂🤣🤣 si mlisema mkona middle class kubwa.

Mzee super market ni nyingi mno hapa DSM picha ndio kikwazo .. kuna supermarkets au malls kali maeneo ambayo wala hujawahi kuyaskia yakitajwa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…