Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kq inahemea ICU😀😀😀😀
Ujanja mwingi wa sungura ndio uliofanya kobe kushinda😛😛😛
FB_IMG_1501435629843.jpg
FB_IMG_1501435706339.jpg
 
I tell you that mko nyuma sana story ya apartments .umejianika tu hapa mwenyewe .
Kenya mnatia aibu sana tulisema tunatuma nyumba za watu wa kawaida wa Nairobi na Dsm sasa nyie mnaanza kutuma apartment ambazo ni majina ya kuziremba ila sehemu yoyote ikishakuwa mnakaa more than one family in one fence mnaishi dormitory

Kuliko kujisifia kuishi kwenye dormitory ya mwanaume mmoja upo uko umepanga ww na mkeo kwa NN mkeo asikudharau na kukupiga

Build your own dream house disighn na Fundi wako wapi unataka kuishi ww na mkeo na family yako na privacy yako

Tanzania inakupa chance ya kujenga nyumba uipendayo ww mwenyewe tena viwanja vya being che mjini

spensa_e
 
taji ya propaganda na uvumi umeshinda.safe journey back to your country
 
Back
Top Bottom