Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A few days ago mlisema kwamba hiki kituo cha Morogoro ndio kubwa kuliko vituo zote kando na ile ya Dar. Is this true?
Ya kwanza kwa ukubwa ni Station ya Dodoma inafuatia Dar halafu Morogoro
 
Kama kuna picha inaonyesha Dunia nzima yote pamoja sasa Dar itakosekanaje? Nyinyi wabongo huwa hamna akili kabisa. Halafu hiyo picha uliyopost haifiki hata 20% ya Nairobi, Hapo ni main CBD part of Westlands, part of Ngara, Upperhill, Kilimani na Nairobi West na Langata. Na ni picha ya kitambo na bado inaonyesha mji uliopangika, sio huo uswazi wenu wa Dar mtu akipiga picha ya mbali unakaa hivi: -
Note: I deliberately posted a photo that shows the BRT because vile nawajua wabongo mngekana kabisa hapo sii Dar. eti, 'puruuv zisi isi Dar es salaam.

 
Hapo msaada ni lugha ya kisiasa benki inafanya biashara , mkopo Ndio uhalisia na tutalipa.
Hiyo excuse can only convince dumb people like you. It has been clearly stated that you will be given grants by the bank.
 
mm nimejitahidi kuizoom kwa karibu ili tuone ww na mzungu nani mwenye akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani mzungu aweke sattelite hewani kwa trillions of usd alafu aone slum za ulimwengu mzima asione ya dar peke yake 🀣🀣🀣
 
Onyesha Prism Tower in that your picture.
Onyesha Parliament Tower
Onyesha CBK Tower
Onyesha Hazina Tower.
Onyesha Upper hill Chambers
Onyesha KCB Tower
Onyesha UoN Tower
Onyesha Britam Tower
Onyesha UAP Tower.
Hizi zote zipo kwenye hiyo picha 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…