Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The equivalent of Kilimani in Dar is slum πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2040430
Huo ni mtaa mmoja tu unaitwa Moroko makumbusho yote haipo hivyo jitahid kuweka fair comparison
While some people are still stuck with linear development of places like kijiko ya nyama and are actually celebrating it, look at Parklands below
View attachment 2040431View attachment 2040434
Ila me Huwa mnanichekesha sana sehemu kukiwa na vijengo viwili basi tayari ni CBD πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umeona hii πŸ‘‡hii ni upanga sio Posta wala sio Kariakoo ona zaidi hapa πŸ‘‡na Iko density kubwa kuliko kuliko huo uchafu wenu mnapost hapa na hakuna mtanzania anaweza sema eti hiyo ni CBD pia tho huduma zote zipo hapo.. tatizo ni picha tu ndio kikwazo hapa bongo.. haya linganisha na hiyo CBD yenu sijui ni uperhil πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kwa upeo wako mdogo ni sehemu ipi inastahili kuwa CBD .?
 
Mimi nangoja kuona the 8 agreements wataput to pen and paper, hopefully it favors both sides, lakini huyu mama watu watamchukia for opening up the country, but watamwelewa siku moja
Ni muda wa biashara kuchuma pesa ,mabishano ya humu ndani hayaleti ugali mezani.

 
Umeangalia picha yako ya kwanza ukaona the

Shida unajifanya huoni PPF tower hapo like your first pic ama, mbishi tu

View attachment 2040648
Hilo jengo halipo kijitonyama sasa na hata ukipiga picha kutokea kijitonyama hilo jengo hakuonekani kwa umbali huo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we dar huijui piga kimya.. utachekwa.. ngoja nikuonyeshe ukipiga picha kutokea kijitonyama mpaka hapo inakaa aje πŸ‘‡
 
Unasema ukipiga picha Kutoka Kijitonyama hilo jengo halionekani and at the same time unasema hii picha umepiga kutoka Kijitonyama na jengo lenyewe linaonekana vizuri sana!
 
Unasema ukipiga picha Kutoka Kijitonyama hilo jengo halionekani and at the same time unasema hii picha umepiga kutoka Kijitonyama na jengo lenyewe linaonekana vizuri sana!
Hizi ndio akili tunadeal nazo hapa bana[emoji23] jamaa anajipiga own goal
 
Tuache ubishi usiokuwa na haja. Ki ufupi ni kwamba Kijitonyama imejengeka tu kando ya barabara so huwezilinganisha na Upper Hill. Hiyo Upanga unayotaja hapa pengine inawezalinganishwa tu labda na Eestleigh ama Lang'ata in terms of density
 
Sa unataka kutuambia ety Upper Hill chambers haiko Upper Hill. Ebu google NTSA offices zinapatikana wapi uwache kujiaibisha.
 
private company's capacity building harufu ya ufisadi mtupu hapa

Kwanini serikali ikope pesa sababu ya private companies? Ufisadi mtupu huu

Hii serikali ni ya kifisadi na majizi yasiojificha



 
private company's capacity building harufu ya ufisadi mtupu hapa

Kwanini serikali ikope pesa sababu ya private companies? Ufisadi mtupu huu

Hii serikali ni ya kifisadi na majizi yasiojificha

View attachment 2040702

Unajichosha ubongo wako bure kwa kuhangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wa akili yako..

Wewe tulia ugange njaa afu usubiri kuona maendeleo on the grounds.

Hatukurupuki kama Serikali iliyopita,tunasaka concessional loans na grants.

Soma hapa jinsi ambavyo tunalenga kutoa mikopo ya riba ndogo kwa wananchi afu ujishangae kwa kukurupukaπŸ‘‡πŸ‘‡



 
Unasema ukipiga picha Kutoka Kijitonyama hilo jengo halionekani and at the same time unasema hii picha umepiga kutoka Kijitonyama na jengo lenyewe linaonekana vizuri sana!
Umeelewa nilichoadika.? Nimeandika wapi kama ukipiga picha kijitonyama hilo jengo hakuonekani.?
 
Tuache ubishi usiokuwa na haja. Ki ufupi ni kwamba Kijitonyama imejengeka tu kando ya barabara so huwezilinganisha na Upper Hill. Hiyo Upanga unayotaja hapa pengine inawezalinganishwa tu labda na Eestleigh ama Lang'ata in terms of density
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba .? Unamaanisha huu uchafu ama.? πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…