Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ea645e1bb6945f3378a9ae46dffcfc86.jpg
2518e4a89d33c982aca4e394633c23dd.jpg
2a904aa58be6040c67dea44e5ab4590d.jpg
c6042f4140b1df3d415e42507189913e.jpg
6e634d497cfcc9bbfccd70864a181617.jpg
29f28afc8e17c87eec2846dbb4d681c2.jpg
d6771d0bfc593004075b04f4f388fb1e.jpg
975dd920d35ac2312b38f0228169896b.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hamuwez fikia Tz hata tone kwa private owned houses, labda hizo kota mnazonunua from investors, nyumba zenu mbayaaaaa,, hata ukiangalia filam za kenya yan vijumba vibayaaa hebu tafuta bongo movies uone mijumba ya heshima

Usirudie tena kupost hizo takataka hapa, bora muendelee kurepost hizo uniform houses japo na zenyewe zina sura mbaya, kwenye swala la outer finishing mpo nyuma sana, rangi ni bidhaa hadm sana huko kwenu

SC20170711-222606-1.jpg
 
safi tuwachane......hawa
 
wewe sasa wa least developed country una nini cha maana. ..?zile nyumba zenu ni design na kiswahili tu hamna jipya......dar is slum the fishing village itachukua milele kuifikia Nairobi.
 
beautiful nature view of nyasa district.
50f8998689066cbd2641e63accdfed0f.jpg
dcfd35541a89779ea972a169feeebc9a.jpg
ce05670ae472c4e62f2c50efc8c489cd.jpg
2c5a0225b41a830b1e198c02fcb4fa19.jpg
36419fd86db05d82e407d1667d5f33f8.jpg
6e96a6fcc0d28d7fc15e591773ec6f87.jpg

umebakia kupost tu milima na mabonde. ...poor you.Infrastructure na housing nayo mmekosa mapicha sasa ni visingizio za kijinga na povu tu.......we beat you in everything ukubali ukatae
 
. .....classy houses for normal nairobians.....wanajifanya tu juu tumewapiga bao Mia moja kwa housing and infrastructure
75ec9a46c5e01f437288324bd4f724fc.jpg
d9203f5e28fa38fa939c3853ead62503.jpg
7227f55dbd84eba957b3d5896aa1db4e.jpg
91710dd0d4fddf4e8c22eee4cdd9355d.jpg
87151b59b8b65772f9e19685932a686c.jpg
81cc93e2e83c62976d75381518b6d63e.jpg
81b2b008272b813dfd161c09f73be4bd.jpg

With world class standard of a mature developed city
703ce14ae1bc01b846431f99b5e43fcf.jpg
f6cb0bb9c18da3c3e69169ff6dc34471.jpg
a65b1ef19b89ddfbc40f5ded7f130a02.jpg
9825c7b3ba94ad69e4695ac9d78afe83.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
picha nyingi wamiliki wameshindwa afford Ku piga rangi in that case cement na rangi ni ghali sana Kenya maana nyumba zote mnazo posti hazijapigwa plasta ya cement zinonekana uchafu

Picha inayo onesha wakenya wa kawaida nyumba zao izi apa
DSC_0105.jpg

spensa_e
 
umebakia kupost tu milima na mabonde. ...poor you.Infrastructure na housing nayo mmekosa mapicha sasa ni visingizio za kijinga na povu tu.......we beat you in everything ukubali ukatae
punguza hasira kijana masikini wa nchi ya watu wa njaa.

sio mimi niliyekuladhimisha u-rent bedsitter.

hasira zako zielekeze kwa maisha yako.

vijana wengi wa nairobi kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,wamepanga bedsitter room katika yale maeneo ya duni ya nairobi.

kwa wale wasioelewa kuhusu bedsitter,ni kajichumba flani hivi kadogo ambapo jiko na choo hupatikani eneo moja.

kutokana mazingira ya bedsitter room,
harufu ya kinyesi toka chooni mara nyingi huenea mpaka jikoni.

msishangae kwanini vijana wa kikenya wana kuwa na ujinga ujinga kichwani,ni kwasababu mda mwingi wanavuta harufu ya kinyesi inayotakana na mazingira ya bedsitter wanayoishi.

e7abad6dc36b1cdfedcfc60e0b74559c.jpg
b54b533c486cdf426149ccdef8a41c4f.jpg
7332f071cdfe0b9ba73030cd83914f81.jpg
da218a55a2a4435f598755895907a1d0.jpg
 
umebakia kupost tu milima na mabonde. ...poor you.Infrastructure na housing nayo mmekosa mapicha sasa ni visingizio za kijinga na povu tu.......we beat you in everything ukubali ukatae
milima,mito na maziwa ni moja ya vivutio vya asili vya LDC,huko kwenu moja ya kivutio ni jangwa na ukame lakini mnaona aibu kupost picha za jangwa na ukame.

niliwaambia watu wa nchi ya njaa kuwa mashamba ya chai ya kericho ambayo yanamilikiwa na mafisadi wa kenya baada ya kupora ardhi ya wakenya wanyonge na masikini, hayawezi kuizidi tanzania kwa mvuto wa kiasili.

tanzania ni kubwa sana,pia ina maeneo mengi yenye rutuba yanayopokea mvua za kutosha zinazoruhusu ustawi wa uoto wa asili ilhali eneo kubwa la kenya ni jangwa/kame
bc19cdf9fc211b9c3aa4736d1cc13356.jpg

beautiful nature view of machame plus an amazing view of mount kilimanjaro.
e2f913a5a021c2137cf4fdbde0477d54.jpg
4f6c39a304bf4f045ff0fb7193c1a556.jpg
fffa356405d29c0276d273279ac7c786.jpg
198f0b047d6a1a70ce30d40e092fa3ab.jpg
b95d781809b798dad6f011b7dec817e6.jpg
71274d854dc80baa7fbb1bc14e527e73.jpg
7db7f0cf7463df67737a6f2af3cf2190.jpg
85dccfe27bd71e7c61bc8da774a06741.jpg
1a702a0e1e9d676b2e95716a19a02027.jpg
a408efda8a8306632448624f69a40788.jpg
ffb9b0d890cd62d08f291a37cdef13bb.jpg
50ca5ca7179736ea6eaa9537a5e16ec6.jpg
beaea301a4b2f73b9d68df91f7f71bb5.jpg
1529f21da5fc47aaacba5029bf424f2c.jpg
55ae1e79bc86d3a06d87560cadecf067.jpg
37e261df51a93748f5d810a9e013714c.jpg
1128c1f57c063f8477184aa16f3e89d8.jpg
 
Back
Top Bottom