El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
vijana wengi wa nairobi kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,wamepanga bedsitter room katika yale maeneo ya duni ya nairobi.
kwa wale wasioelewa kuhusu bedsitter,ni kajichumba flani hivi kadogo ambapo jiko na choo hupatikani eneo moja.
kutokana mazingira ya bedsitter room,
harufu ya kinyesi toka chooni mara nyingi huenea mpaka jikoni.
msishangae kwanini vijana wa kikenya wana kuwa na ujinga ujinga kichwani,ni kwasababu mda mwingi wanavuta harufu ya kinyesi inayotakana na mazingira ya bedsitter wanayoishi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
between these and those ugly swahili shacks sorrounding your pathetic fishing village which one is better ...considering bedsitters pia zina maji connected hadi ndani chumbani. ......