Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanatoa maneno ya kejeli alafu tukirudisha anatokea mbuzi kupinga wakati naye alikuwa kinara wa kukejeli upande wa pili, nasisitiza huu ni utoto na ni unafki wa hali ya juu sn.

Inafahamika kwamba Wakenya co wastaarabu kabisa, wkt huu uzi unaanza ulikuwa safi kabisa lkn uliharibiwa na Wakenya kwa maneno yao ya shombo, na cc tukaona twende hivyo hivyo wanavyotaka wao, na hata Watz waliojifanya leo wamebadilika wanalifahamu hilo, japo leo wanawasapoti Wakenya lkn najua mioyo yao inauma sana kwa maneno ya shombo ya Wakenya but wanajifanya kuunga mkono kinafki ilihali wanaumia.

Nyumbani ni nyumbani tu hata ufanyaje huwezi kubadili kwa jirani kuwe kwenu, nyie wanafki wachache endeleeni na unafki cc wacha tujivunie kile kidogo tulichonacho mtajua wenyewe kwani c mnajiumiza wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ka download hela
 
Pole sana mzee cha ajabu nilipokuwa napambana nao uliwashangilia. Naona umeona their true colors vijitu vimekuja majuzi humu ila vimbelembele kinoma ni mwendo kuidolize JPM utafikiri alikuwa Mungu!
 
Tanzania keeps on maintaining it's status as the first kisser of any brand new luxury car introduced to the region


Lol, this defender niliiona Kenya 2019 ndio mnaiongelea sahii? 🤣🤣 Watu tulishachoka nayo sahii tunaongelea Range Rover Vogue 2022.🤣🤣 Remember the East African outlet for Land Rover is in Nairobi. Kweli Bongo mko nyuma.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…