Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaongelea magorofa ya uswazi. Sio akina Britam ama TPA ambayo yalibuniwa na Wakenya.
Magorofa tunayo mengi nimeshakuambia ungekua umefika DSM ungeelewa wakunya mnapenda sifa Kwa vitu havipo eti mliobuni🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Why would a government go public about something like that if indeed it's not true? What does it stand to gain by saying that publicly if there's no truth in it? Saa zingine mnaona watu ni wajinga sana!
Ndivyo dunia inavyokwenda, mashirika yote ya misaada huwa ni njia tuu ya kukaba shingo, nchi masikini, hakuna usamaria mwema duniani hapa.
 
Umekasirika, sauzi hapana maajabu yyte mzee[emoji1787][emoji1787]
Kitaani hta sidhani km kuna mtu atakua na shobo nawe..
Yani mtu na akili zako unaenda sauzi kutafuta maisha jamani..
 
Huo mradi ulijengwa na financial institution ya Bongo, kwahyo hapo kinachofanyika ni kama kurudisha pesa ya uwekezaji ili iende tena kuwahudumia wananchi. Sisi ni tofauti na nyinyi wazee
Tanzania nchi ya asali mradi wa serekali unatozwa toll fee[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…