The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwamba unakataa hawajaja kusoma au? Ss weka link kama kweli una kende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyinyi ni wapuuzi sana tho and for your information kenya always wins this competitionsView attachment 2035150
Muulize Mama Ngina iweje mna import all transformers and other electric appliances from Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi ndio hatuna au?
Ile ni electric train haihitaji kuwa ndefu kama mtungi wa chang'aa, kitu faster kina deliver zen kinarudi ndani ya masaa machache, wacheni ushamba nyie wakunyaland.Maybe Wengine watakuwa wanapanda trains wakiwa kwa nyasi.
Umenotice nn fala wewe, msifananishe electric train na mtungi wa gesi, kitu faster kina deliver zen kinarudi ndani ya masaa machache.Hata mimi I noticed that too ni vile tu sikutaka kuongea
Una mawazo ya kizamani sana bwana mapesa, urefu wa hiki ninachokuonesha ndio urefu wa electric train yetu, hapo usisahau kuzidisha mara mbili mana itakuwa ni double decker, ushamba mzigo wallahi, jamaa wamechelewa sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.
View attachment 2034030
View attachment 2034032
Tuzilete hapa tushindanishe.?Hiyo research ya Emali station uliifnya wapi and can you share with us the research materials?
Dar station inaipiga Nairobi station kwa lipi?
Umeosha matako leo.?We si ni panya buku wa tandale tu..
Hako kajengo ndio asilimia ngapi basi, mbona kwanza upost kajengo kamoja wakati hapa tunaongelea mji wa magufuli..
Hivi kweli inaingia akilini utuonyeshe kajengo kamoja..
Joe Biden ametenga bajeti ya $1+ Kwa ajili ya infrastructures Nenda kamshangae naye amesema tuta.Story za tuta....ita peleka Tandale
Nimefuatilia kwa karibu inaonekana jamaa wako serious!!!wameahidi kujenga industrial park Kigamboni nafikiri wakishirikiana na wenzao wataanza na viwanda 40 initial ndo hichi cha leo!!!Kwa muda mrefu walikuwa wakitafuta sehemu ya kuweka base East and Central Africa hatimae Tanzania imekuwa chaguo lao!!!pia wameahidi kujenga Collage ndani ya hiyo industrial city ili kuzalisha wataalamu kwa ajili kuendesha viwanda vyao si tu kwa Tanzania bali kwa miradi yao globally!!!,Tutegemee kuona mambo makubwa zaidi Kigamboni!!!! Project hii moja inaweza kuamsha project nyingine nyingi!!!!Pia mama ameelekeza kwa sasa Kigamboni iwe ndio sehemu inayopewa kipaumbele cha kwanza kabisa katika uwekezaji wa viwanda kwa mkoa wa Dar es Salaam!!! Hivyo miundo mbinu wezeshi haikwepeki.
Transformers za Tanalec pale Arusha zinazingua Sana,sasa waboreshe zaidi maana sasa wamepata mshindani mwingine.
Kwani hujui kusomaKwamba unakataa hawajaja kusoma au? Ss weka link kama kweli una kende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oysterbay police station yenye@NDINDA na ichoboy wanafloss nayo ni donation[emoji1787][emoji1787]The only hi tech forensic lab in E/C Africa ichoboy01 View attachment 2035205View attachment 2035206View attachment 2035207
Kila kitu lazyland ni donation 🤣🤣🤣Oysterbay police station yenye@NDINDA na ichoboy wanafloss nayo ni donation[emoji1787][emoji1787]
Wacha tuongee kwa picha ili tuwasaidie hawa jamaa wasiokuwa na ndoto za kuwa na electric trains, ona urefu wa EMUs alafu linganisha na mtungi wa gongo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]If you want to know how short Tanzanian trains will be, just look at the boarding shade and then compare na za Kenya. I doubt hata kama hizo trains zao zitabeba watu watu 15o per trip.
View attachment 2034030
View attachment 2034032
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya coast guard in l. Victoria, tanzanians take care.View attachment 2035215View attachment 2035216View attachment 2035218View attachment 2035219
Hebu mention transformer company nje ya centum's EA's cables!Sisi ndio hatuna au?
Umekasirika sio🤣🤣🤣🤣[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi transformers ea manufacturers ltd, yocean group ltd, empower transformers ltd, satisfied?Hebu mention transformer company nje ya centum's EA's cables!