The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwamba aliletwa Nairobi kisiri kwa ndege ya kichawi wala hatukuona na mwili wake ulirudishwa kichawi pia kwa kutumia ungo tusingeweza kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]And their own government even lied to them about the health and whereabouts of tueir president
In March all the airports in Kenya were not operating except for special cases like za Magufuli. Aafu aliletwa usiku.Alipitishwa kisiri mana kuna Airpot ya chini kwa chini huwezi kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unampelekaje nje kumtibu mtu anayeomba afe? Wazee wa umri wa Moi wengi wao wanapokuwa kwenye hali mbaya huwa wanajua kabisa hiki ni kifo na saa nyingine hawataki kwenda hospitali, hilo liko wazi na huwa wanasema kabisa kwann sifi mm!!Kwa hivyo mtu akifikisha umri wa makamo anawacha kuwa mtu?
So huku Tz hata wafanyakazi wa Airpot hawakuona au sio, Wakenya hamna akili.In March all the airports in Kenya were not operating except for special cases like za Magufuli. Aafu aliletwa usiku.
Kweli wakunya hawana ajili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana.. eti shetani nae ana moyo[emoji23]
Hakuletwa Nairobi. Alikuwa buheri wa afya na alikuwa busy anachapa kaziKwamba aliletwa Nairobi kisiri kwa ndege ya kichawi wala hatukuona na mwili wake ulirudishwa kichawi pia kwa kutumia ungo tusingeweza kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba pale Airpot wafanyakazi wakaambiwa wasiseme na hawakusema hata wake na waume zao hawakuwaambia mpk leo, haki ya mama Wakenya hawana akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivyo ndio wanavyodanganyana wakenya [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Mwamba alipitishwa kisiri siri, watu wakaambiwa hakuna kusema [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hata wafanyakazi wa Airpot waliambiwa waweke siri wasiseme mpk wanakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuletwa Nairobi. Alikuwa buheri wa afya na alikuwa busy anachapa kazi
Do you know something called intelligence?So huku Tz hata wafanyakazi wa Airpot hawakuona au sio, Wakenya hamna akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutakuwa na feeder routes kama ilivyo kimara-mbeziNa BRT ya gongo la mboto ikaunge sgr ya pugu sio kuishia gongo la mboto . Itasaidia wanaokaa ukanda wa gongo la mboto Hadi tazara wasiende shukia mjini. Hii itasaidia kupunguza msongamano
So walitumia ndege inayoitwa intelligence, haya niambie ni ndege gn inayoweka siri kubwa hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Do you know something called intelligence?
Do you really know how a private organization work?So huku Tz hata wafanyakazi wa Airpot hawakuona au sio, Wakenya hamna akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza.... unajua Kitu kinaitwa intelligence?Kwamba hata wafanyakazi wa Airpot waliambiwa waweke siri wasiseme mpk wanakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio intelligence imewadanganya kwa muda kumbe akili zenu zilivyo vyatu ndio one way mpaka mnaingia kaburini 🤣🤣🤣🤣Do you know something called intelligence?
Tukubaliane tu kwamba mwili wake ulipitishwa chini ya ardhi, sio rahisi mtu kuona.Do you know something called intelligence?
You an academically dwarf person. I rest my case!So walitumia ndege inayoitwa intelligence, haya niambie ni ndege gn inayoweka siri kubwa hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 Uliskiliza vizur taarifa ya msiba na situation aliyokuanayo magufuli hata kifo kilipomkuta.? Wiki mbili kabla taarifa za kifo chake alionekana akimuapisha katibu mkuu kiongozi 👇Sasa utaelewaje haya yote wakati the same government that was at the center of all these ilikuaminisha wewe na watanzania milioni sitini kwamba magufuli alikuwa akichapa kazi? There are certain things that are beyond your comprehension Kijana. Sickness and subsequent death of a sitting president is not handled kijuakali as you think. It is a well-guarded secret that only people in high places can get wind of
Intelligence ndio ndege pekee isiyoongozwa na watu na ambayo haionekani kwa macho ya kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuuliza.... unajua Kitu kinaitwa intelligence?
Watasema huyo si mtanzaniaThese are some of the respected people in Tanzania admitting to receiving treatments in Nairobi Hospital.