Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutana na team za Tanzania zinazomiliki mabasi makali 2021 AZAM👇
FAw6b7aWYAEFR17.jpg
2.jpg
SIMBA👇
2811385_IMG-20210617-WA0021.jpg
2738021_Screen_Shot_2021-04-10_at_4.12.26_PM.png
YANGA 👇
maxresdefault(39).jpg
DODOMA JIJI FC👇
3022152_dodomajijifootballclub_1638483743201393.jpg
IHEFU FC👇
Screenshot_20210717-060552_Instagram(0).jpg
EhOsthbXgAAUYF0.jpg
SINGIDA UNITED 👇
Screenshot_20211204-170255_1.jpg
MBEYA CITY 👇
mbeya+city+basi+3.jpg
mbeya+city+basi.jpg
MBAO FC👇
43-950x633.jpg
WHILE JIRANI ZETU WA KASKAZINI TEAM YAO KUBWA INAMILIKI BASI KAMA LINAVYOONEKANA HAPO CHINI 👇
3020388_57F8AEEC-A802-493B-84F9-76071BE7B733.jpeg
3020389_B1E6B9DB-B57F-493D-84CD-5972F8DE613D.jpeg
Eeeh Mungu nifundishe kunyamaza 🤐 ... Je nini maoni yako wewe mdau (stakeholder) wa maendeleo EA.?

dodomajijifootballclub_1638483743201393.jpg

maxresdefault(40).jpg
 
Kutana na team za Tanzania zinazomiliki mabasi makali 2021 AZAM👇View attachment 2032658View attachment 2032660SIMBA👇View attachment 2032661View attachment 2032663YANGA 👇View attachment 2032670DODOMA JIJI FC👇
3022152_dodomajijifootballclub_1638483743201393.jpg
IHEFU FC👇View attachment 2032681View attachment 2032682SINGIDA UNITED 👇View attachment 2032696MBEYA CITY 👇View attachment 2032699View attachment 2032700MBAO FC👇View attachment 2032703WHILE JIRANI ZETU WA KASKAZINI TEAM YAO KUBWA INAMILIKI BASI KAMA LINAVYOONEKANA HAPO CHINI 👇View attachment 2032710View attachment 2032711Eeeh Mungu nifundishe kunyamaza 🤐 ... Je nini maoni yako wewe mdau (stakeholder) wa maendeleo EA.?

View attachment 2032672

View attachment 2032688
Mkuu umewasahau wanajeshi ya mpakani😃
biasharautdmara-post-2021_09_07_09_08-3.jpg
biasharautdmara-post-2021_09_07_09_08-2.jpg
biasharautdmara-post-2021_09_07_09_08.jpg
 
Kutana na team za Tanzania zinazomiliki mabasi makali 2021 AZAM👇View attachment 2032658View attachment 2032660SIMBA👇View attachment 2032661View attachment 2032663YANGA 👇View attachment 2032670DODOMA JIJI FC👇
3022152_dodomajijifootballclub_1638483743201393.jpg
IHEFU FC👇View attachment 2032681View attachment 2032682SINGIDA UNITED 👇View attachment 2032696MBEYA CITY 👇View attachment 2032699View attachment 2032700MBAO FC👇View attachment 2032703WHILE JIRANI ZETU WA KASKAZINI TEAM YAO KUBWA INAMILIKI BASI KAMA LINAVYOONEKANA HAPO CHINI 👇View attachment 2032710View attachment 2032711Eeeh Mungu nifundishe kunyamaza 🤐 ... Je nini maoni yako wewe mdau (stakeholder) wa maendeleo EA.?

View attachment 2032672

View attachment 2032688
Maoni yangu Tanzania Hana mpinzani Africa ya mashariki na ya Kati ikifikia kwenye investment ya sports and facilities,kumbuka Tanzania ndo ina uwanja wa kipekee Africa mashariki na ya Kati ambao unatumia led electronic display for outdoor advertisement Azam complex
 
Ila tz watu wameweka pesa bhana kwenye mpira duh..!! Inaonekana mpira tz kwasasa unalipa mno
 
zetu hampo serious eti gari inavuka mto wakati maji Yana over flow kwenye brigde

Yaaani nashangaa na hawa jamaa watu hawadhamini life Yao,Wananchi walitakiwa wamshauri dereva ashushe abiria hao wamekaa Kama mazombie wakitazama movie Hilo dude ilitakiwa kuvuka lenyewe sasa life imepotea Ila polee Yao😔😔SO sad
 
Ni SGR, hicho ni kichwa cha majaribio
Angalia picha wakati kikishushwa kutoka Kwenye meli walikiweka Kwenye meter gauge rail kisafiri mpaka Yadi kubwa ya matengenezo ya sgr soga Ndio wakihamishie Kwenye Sgr

Baadhi ya wakenya sio wote wenye wivu wakaleta fake news .
Tanzania ikifanikiwa kenya imefanikiwa achaneni na mambo ya Mwaka 77 yalipitwa na wakati.
Hii electric sgr ikikamilika itakuwa ya kwanza Afrika kwa urefu.

3C438733-ED5F-4C59-AEFF-0445D1852AEF.jpeg
 
Ukinipa ushahidi kwamba expressway elevated section ina japo 9km naondoka Jf, we hushangai NairobiWalker katulia anabaki ku like kwa mbali japo anajua ni uongo, wakunya bhn

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wala usibishane nao hao ni wabishi sana kwenye vitu ambavyo ni obvious. The fact is elevated section ya Nairobi Expressway haijafika 9km anayebisha aanike kende hapa ni mfinye.
 
Hamuna kende ya kuondoka jf nyinyi, hamuezi ondoka, expressway elevated ni 11.2km ama zaidi ba mzee, tuende pole pole, kutoka Westlands hadi CBD ni km ngapi? fanya utafiti usitoe sababu uchwara kujikomboa eti nimepika data , haya kutoka CBD hadi Nextgen mall along Mombasa road ni how many km?.., chukua map ama ingia youtube utazame expressway.., kisha funga account pole pole, uondoke kwa mwendo wa aste aste, uje na a new account na new name na averter pia, kama mnavyo fanya humu
Huu ndio ushahidi umeweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia picha wakati kikishushwa kutoka Kwenye meli walikiweka Kwenye meter gauge rail kisafiri mpaka Yadi kubwa ya matengenezo ya sgr soga Ndio wakihamishie Kwenye Sgr

Baadhi ya wakenya sio wote wenye wivu wakaleta fake news .
Tanzania ikifanikiwa kenya imefanikiwa achaneni na mambo ya Mwaka 77 yalipitwa na wakati.
Hii electric sgr ikikamilika itakuwa ya kwanza Afrika kwa urefu.

View attachment 2032796
Hao mbwa ni kama unampigia mbuzi gitaa, kesho atapost tena ile picha na atataka mbishane tena na matusi atakumwagia,
 
Back
Top Bottom