Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn mtihani wa kiswahili tz mumefaulu nchi nzima[emoji1787][emoji1787]
Hakuna upumbavu kama kusoma mpaka chuo kikuu na unafeli mtihani wa lugha uliyoanzaga kujifunza ungali mtoto.. nyie ni matahira 😂😂😂, yani mnapeleka watu abroad wakasome professionals ili wakirudi walitumikie taifa halafu wanafeli mitihani ya lugha 😂😂😂.. haijawahi kutokea duniani 😂😂😂
 
Swali umelikwepa, kuna tofauti english medium na kusomea kingereza we bwege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa kumbe mnaumizwa sana na mtaala wetu wa elimu jamani..
 
Swali umelikwepa, kuna tofauti english medium na kusomea kingereza we bwege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa kumbe mnaumizwa sana na mtaala wetu wa elimu jamani..
😂😂😂😂😂 We kumbe ni mpumbavu wa mwisho .. eti kuna tofauti Kati ya "English medium na kusomea lugha". Hii statement yako ulitaka umaanishe nini, yani hata kutumia kiswahili chenyewe ili kuwasilisha jambo lako huwezi. 😂😂😂 Heb piga kimya utachekwa sana.. mana we ni mbumbumbu
 
Kumbe na kiswahili pia hujui.? [emoji23][emoji23][emoji23] Sa unajua nini wewe.? Kiingereza hujui, kiswahili pia hujui..[emoji23][emoji23][emoji23] The best 007 njoo uku uchukue ndugu yako
Kuruka ruka ndio kazi yako[emoji1787][emoji1787]
Pole sana...
Kiswahili ulipata division ngapi, km umepata division 1 natoka jf
 
Kifo kimewadia mzee, naona kufikia sasa unapata tabu sana..

English medium siku hizi ndio kusomea kingenge sio[emoji1787][emoji1787]
 
Ku-to-fi-ka, chu-o ki-kuu, au- ku-to-jua Eng-li-sh, ndio- illi-tera-te?.

Nadhani nimechanganua vyakutosha, au unaonaje?
Hahaaa, joto la jiwe bana, m nlikua nmempa hyo mwenzio anayejisifia kiswahili nione na yeye atafanyaje

Nashangaa karuka na kusema eti hoo mara sijui kiswahili mara nini[emoji1787][emoji1787]
Pole yake

Sama boy 255
 
The good thing ni kwamba slums zote Kenya ni ardhi ya serikali, anytime ikijiskia inavunja bila compensation. Ndo maana hao jamaa wanajenga na mabati ndo wasiende hasara otherwise wananyumba kwingine.
Hzo nyingine ambazo kwamujibu wa maelezo yenu ndyo sehem kubwa ni ardhi ya nan?[emoji29]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…