Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maskini ichoboi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katafute procedures za aga khan hospital nairobi, utaumbuka maskini..
Eti tunatangaza hospitali za nje
Hamjawahi kufanya na Wala hamuwezi kufanya 1)Bone marrow transplant, 2)Choclear implan, zote hizi hufanyika Tanzania pekee katika ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
And here comes the madman running away from the discussion after getting exposed.
uhehehhee jana nimekuumbua kwenye km na leo nakuumbua kwenye bone marrow transplant jamani nipewe nn sijui😂😂😂
 
ni hospitali gani hio mutuambie hapa [emoji1787][emoji1787] kwanza itazame hospital ilivo alaf tuambie sasa mamaee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mamaaee, umeanza kuikubali tena km dogo ivan alikua hospitali akimsubiri dadake km kusudi Mungu kamleta...

Mlitafute sehemu muone km ataenda nje kw ajili ya transplant lkn zii[emoji1787][emoji1787]

Donation ilifanyika kenya kutoka lw dadake
 
Book online mzee[emoji1787][emoji1787]
Km imekuuma sana lkn, yani dogo ivan afanyiwe tranplant eti nyie mukatae kisa roho za kichawi
Na jina mnamjua kwamba mmemfanyia huyo huyo dogo Ivan, Tz inafanyia watu 48 kwa mwaka, anyway nimeiongeza Kenya ilisahaulika hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211130-220909.jpg
 
Na jina mnamjua kwamba mmemfanyia huyo huyo dogo Ivan, Tz inafanyia watu 48 kwa mwaka, anyway nimeiongeza Kenya ilisahaulika hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2028690
Ona man down majamaa[emoji1787][emoji1787]
Kafie mbele, km una maumivi nenda chato ukazae
 
30 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania

WATALII WENYE BAJETI NDOGO (BACKPACKERS), HALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM BAADA YA KAMPENI YA 'KUJIPANGA'

Huduma za zote kijamii ktk jiji kubwa la Dar es Salaam, kwa wakaazi na wageni zazidi kupanda hadhi baada ya jiji kupangwa

Is TANZANIA the CHEAPEST Country To Travel?



Traveling is expensive, but when it comes to visiting Tanzania, the story is different. This is the cheapest country to travel when you're on budget. In this video i have demonstrated how you can survive in Dar es Salaam the biggest and commercial city of Tanzania for only $15 per day.
Source : Malango Travels
 
Ninyi hamuwezi kushindana na Tanzania katika huduma za Afya. Wewe fikiria Public Hospitals za Tanzania zinazidi Private Hospitals za Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mada inabadilika pole pole tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mamaaee, umeanza kuikubali tena km dogo ivan alikua hospitali akimsubiri dadake km kusudi Mungu kamleta...

Mlitafute sehemu muone km ataenda nje kw ajili ya transplant lkn zii[emoji1787][emoji1787]

Donation ilifanyika kenya kutoka lw dadake
nakwambia ukinitajia ni hospitali gani na hospital yenyewe navoiona kama dispensary hio mm nafunga acc jamii forum

na tukio hilo lingeskika dunia nzima 🤣🤣

kenya ifanye bone marrow transplant na hakuna official link manina daaahh😆😆
 
na hii ni good example [emoji116][emoji116][emoji116]
Hawa jamaa hamna kitu, ni kelele tu, wakunya wamejazana pale Ocean road cancer Institute wanatibiwa cancer na JKCI wanatibiwa moyo, Hawa wajinga hapa wanataka kutudanganya eti Kenya wanafanya bone marrow transplant?, Kenya ipi hiyo, hii hii failed state?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nakwambia ukinitajia ni hospitali gani na hospital yenyewe navoiona kama dispensary hio mm nafunga acc jamii forum

na tukio hilo lingeskika dunia nzima [emoji1787][emoji1787]

kenya ifanye bone marrow transplant na hakuna official link manina daaahh[emoji38][emoji38]
***** umelia mpka nakuhurumia..lala salama mzee..
 
Back
Top Bottom