tanzania ina watu mili 60Average Ni 3 children,
Places like central Kenya Ni mpaka 1 child
according to who mama ngina??😂😂 umebadilisha topic tayarThe whole country has 2.7m household connected.
Funga mjadala ,fala.
So asiyejua kingereza ni kilaza, c mnaona aina ya waafrika tunao debate nao humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukijua kiingereza utaelewa na kuinterpret maandishi yaliyoandikwa kwa kiingereza na kuacha kuwa kilaza kama ulivyo.
kwao ukijua broken english basi ndio umesoma sana ndio maana waifeli sana kwenye mtihani wa kwenda kufanya kazi uingereza 🤣🤣🤣🤣So asiyejua kingereza ni kilaza, c mnaona aina ya waafrika tunao debate nao humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inachekesha sana nnapoona Wakenya wanaweka battle ya hospitals, Tz ipo level za mbali sn ukilinganisha na hivi vinchi vya East and Central Africa na vingine vingi vya kiafrika.[emoji1241][emoji1241][emoji1241] tuendelee kushindana watu bado wanamawazo ni tanzania ya 90s [emoji3][emoji3]
Mbona hawajatubwekea watz wakati tumevuta maji toka ziwa victoriaNishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
ungempa na mfano mwanza to tabora 350km na sasa inaenda dodoma almost 700kmMbona hawajatubwekea watz wakati tumevuta maji toka ziwa victoria
Not understanding well and use your national language is the most stupid thing a country and it's people can do, prioritizing your colonizer's language is slaveryUnderstanding a language is not being a slave. Failing to understand a crucial language used officially in your country is being a slave. But would a bongolala know.[emoji706][emoji706]
Hapa ni ile case ya between 1kg of feather and 1 kg of metal which is heavier ndio unadeal nayo, this idiots will insist metal is heavierThe whole country has 2.7m household connected.
Funga mjadala ,fala.
rudi kwenye point umsaidie mwenzio kwanza 🤣🤣👇👇👇👇Hapa ni ile case ya between 1kg of feather and 1 kg of metal which is heavier ndio unadeal nayo, this idiots will insist metal is heavier
Desalinating Lake Turkana waters will be a climate and ecogological catastrophe. Desalination is not environmental friendly.Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
Hadi Sasa maji toka Ziwa Victoria yanalaribia Singida 500km kutoka lake Victoria. Kwa vyovyote iwavyo, kusafirisha maji toka lake Victoria is the cheapest means" kwa Kenya kwa sasa.Nishasema hapa maji ya Ziwa Turkana ina chumvi. Inahitaji desalination plant kujengwa kwanza. Na kiwanda hicho ni expensive kujenga.
Halafu kwenye swala la ziwa Victoria, kujenga bomba la 1,000 km ya maji itagharimu pesa nyingi. Nyie bomba lenu ni kilomita ngapi na liligharimu pesa ngapi? Halafu ukigusa maji ya Victoria, Egypt huwa anabweka kama mbwa koko.
Yeye sio mwendawazimu[emoji23][emoji23]Kamuulizeni waziri wenu wa nishati jamani, niacheni mie
@TeargasInachekesha sana nnapoona Wakenya wanaweka battle ya hospitals, Tz ipo level za mbali sn ukilinganisha na hivi vinchi vya East and Central Africa na vingine vingi vya kiafrika.
It's the language of instruction in your schools. How do you fail to understand the language of instruction in your schools? And why are you prioritizing the language of your colonizers in schools?🚮🚮Not understanding well and use your national language is the most stupid thing a country and it's people can do, prioritizing your colonizer's language is slavery
Bone marrow transplant has been done in Kenya for decades. Shida yenu mmebaki nyuma vitu vya kawaida Hadi mkivifanya mnaona maajabu.🚮🚮@Teargas
NairobiWalker
@@Tony254
komora096
Bado mnataka kushindana na Tanzanians?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu tueleweshe what they mean by 37% households, mjuajirudi kwenye point umsaidie mwenzio kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2028000
Haya sawa tunaongoza Africa kwa access to electricity in rural areas, vipi hiyo pia hamtaki?Access to Electricity but not Connected.
Wewe huwa takataka sana,