Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More than 60% ya wakazi wa Nairobi ni Slum dwellers, no wonder mmoja wao akitaka kuweka ukweli humu huwa wanaogopa kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwnn more than 60% of Kenya population wasiwe Slum dwellers? Ona ma slums yalivyojaa kule Kenya alafu kuna mtu anasema eti kuyaondoa ma slums ni rahisi, utayaondoaje au unadhani hapa wanaishi wadudu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781][emoji117][emoji706][emoji3545]
 
Pia isisahaulike Tanzania ndio taifa linaloongoza ukanda huu kwa wananchi wake kusoma vyuo vikuu vya nchi kubwa za nje

Kuna fallacy ilijengeka kwa wakenya kwamba Watanzania (matajiri) their default choice linapokuja kwenye suala la better education kwa vijana wao basi ni Kenya, you were badly wrong πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Oneni education destinations za majority of Tanzanians sasa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…