Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiyo mpaka uanze ujenzi wa brt kutoka Gomzi
 
Sama boy 255 Nilikuambia huu mchezo hautaki hasira, eco dege from their FB page inasema it sits on 300 acres of land👇.

Wacha tuchukue an estate in Nairobi tatu na konza city tuiweke kando kidogo, Nyayo estate embakasi sits on a whopping 960 acres of land and it's fully developed bila mapengo👇
Now tell me how do you expect me to take you serious when you embarrass yourself like this 🙄🙄

Fun fact, Nyayo estate is the second biggest estate in Africa
 
Acha uongo mzee Coco reborn Dege eco village Kigamboni ni 300 hectares equivalent to 741.316 acres .. halafu zingatia na quality Bruh ..Nyayo estate ni uchafu tu ukilinganisha na Dege eco village tukizongatia quality .. heb ona hapa 👇 renda . Riality 👇 . Clarification .. Dege eco village iko na
1. Executive villas 68
2. Twin villas 88
3. Ditached houses 148
4. Apartments 7000
So Dege eco village Kigamboni ukiachana na ukubwa Ila ni quality kulinganisha na mradi wowote wa makazi ya watu hapa EA labda Fumba town ukiongezeka ukubwa
 
uhehe mm nimezaliwa mwanza nimesoma mwanza mpaka A level na wazazi wangu wako mwanza ww utanieleza nn 😂😂😂 haya niambie ww utanidanganya nn kuhusu mwanza mzee

yani ww unanichekesha sana mwanza kuna maeneo yamejengeka kama igoma, nyakato, nyasaka, ilemela kilimahewa, bwiru, kirumba, kishiri, nyegezi mpaka mkolani , isamilo huko ww utanieleza nn kuhusu mwanza 🤣🤣🤣

mfano mdogo hii ni bwiru ward
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…