Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thank you bro for the latest news

Tanzania miradi ni mingi sana kuliko kenya kwa vile hatuna wapiga picha wengi na waandishi wa Habari wa kutangazia.

Nimejaribu kufukua Kwenye vyanzo vyangu [emoji1541]
Shida ni kwamba waandishi wengi wanazipa kipaumbele habari za wasanii ambazo kimantiki nyingi ya hizo habari ni upuuzi mtupu.
 
Uhuru ameimaliza Kenya yote kwa kuuibia mashamba sasa kawaibia kile kijiwe chao cha free Wi-Fi kwa Jina la muarabu [emoji23][emoji23][emoji23]

Uhuru Park saivi ni Mali halali ya muarabu [emoji28][emoji28][emoji28]

It's so official
Poleni kwa maumivu, NMS is working well
 
Miji mingi tuu ya zamani Tanzania ilikuwa imepangika vizuri, tatizo lilianza miaka 40 hivi iliyopita, ambapo wahusika waliacha kusimamia mipango miji. Miji ambayo haikuongezeka haraka kama Tanga bado imebaki katika mpangilio.

Dar es salaam kwa mfano, sehemu nyingi tuu za nje ya mji (kwa wakati huo) zilikuwa zimepangiliwa vizuri, mfano Tandika, Chang'ombe, Mwenge Kijijini, Sinza, Magomeni na hata Kinondoni. Nje ya sehemu hizo wahusika waliaacha wananchi wajifanyie watakavyo.
 
Hivi can 1 city have more than one CBD? Unajua maana ya CBD?

Naona mpo obsessed sana na neno CBD with zero knowledge of it
Yes, one city can have more than one CBD depending on how the city is planned.

CBD in full is
C- Central (Area of Focus)
B- Bussiness( Any Activity that earns money)
D- District(Location)

So in simplified terms, CBD just means an area of a city or a town that is the economic backbone (which can be more than one) of that City. For example, most cities have more than two CBDs - Administration District, Commercial District, Financial District. All these Districts are called CBDs.
 
Hiyo inatakiwa kujengwa wakati watakapo jenga brt false 3
 
Dah, kweli tuna projects nyingi, nilishaisahau hii ya hapo shimo la udongo.
 
Kwani hii nguvu yote ni ya nini?
 
Ni kweli sehemu nyingi karibu zote Dar zina masterplan tatizo ni ubishi wa watu kujenga Kwenye road reserve na wapimaji wachache wa viwanja na maafisa ardhi wanaopenda ela .
Watu wakija kubomolewa wanalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…