Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alichofanya Magu ni ku copy na ku paste tu aliyokuwa akihubiri Nyerere, yani Magu alikuwa mwanafunzi mtiifu wa Nyerere na ndiyo maana hakuacha kumtaja popote alipoenda, hope kwamba ipo siku nchi hii itapata mwanafunzi mtiifu wa Magufuli japo huenda akasawazisha yale mapungufu ya Magufuli.
 
Tanzania tulianza na Nyerere, Kenya mlianza na Kenyatta, we started with right leg while you started with left leg, we will never suffer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huwa unasema wewe ni form 4 vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Samia kampinga Magu juwa kwamba kampinga Nyerere, Joto amekuelewesha vzr usiwe mgumu kuelewa na wewe mwishowe nitakuandikia sign chini kama ninavyowaandikia wenzio.
 
Wakirudia tena nitag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heheheheeee eti uende kinyume na Nyerere kwa akili gani ulizonazo, mtu aliiongelea Tz ya kikoloni mpk Tz ya ss na kweli yametokea, alafu aje mtu kizembe zembe tu amkosoe, lazima moto umuwakie.
 
Maisha yangekuwa mazuri Tanzania as you want to paint it hamgengukuwa na hao ombaomba in the first place. Na hata hata muwe nao mbona hujiulizi kwa nini wameacha 'asali na maziwa' Tanzania na kuja kutembeza bakuli Kenya?
 
mwizi kawapa wezi pesa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio huyu mzee wanasemaga ana utajiri wa dollars billions 2?

Sasa mbona anawapa binti zake urithi kiduchu wa dollars million 2.5, hiyo si pesa wamasai wa Tanzanite wanaingiza kila siku? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Maisha yangekuwa mazuri Tanzania as you want to paint it hamgengukuwa na hao ombaomba in the first place. Na hata hata muwe nao mbona hujiulizi kwa nini wameacha 'asali na maziwa' Tanzania na kuja kutembeza bakuli Kenya?
Hivi hujui kwamba Sheria ya Tanzania imekataza kuombaomba?, huku Tanzania ombaomba ni "criminal offence by law" ni kama wanawake wanaojiuza barabarani usiku, hao ombaomba hapa Tanzania mara kwa mara wanakamatwa na vyombo vya Dola, hawana Amani wakiwa Tanzania, wakiona polisi huwa wanajificha, nchi pekee ambayo wanahisi kuwa na Amani ni Kenya,[emoji23][emoji23]
 
Unataka nikuletee ground breaking ceremony wakati picha zimetumwa haha za ujenzi? Unatumia akili kweli? This is the same way you guys were asking for the Expressway billboard one year ago an mkaumbuliwa. Stupid bongolalas!
Huna ubavu wa kuleta nilichoagiza sababu hakipo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
The point is, all beggars on our streets are Tanzanians. That's the most important point here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…