Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa wanachekesha sana, wangekuwa wanasema tu CBDs Mana hivyo vijengo viwili vitatu vinavyowafanya kuita hizo slums cbd vyote viko hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
endeleeni kuishi nao na muwazoee bila kusahau maneno 10 ya mkenya yoyote hata awe mchanga kazaliwa leo chukua neno moja tu
 
Asanti mama Samia kwa kukubali wanafunzi wajawazito wasome. Rais wa Tanzania (2021-2035)
 
The best 007 usipite kimya😂😂😂
 
The best 007 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shugulika na uswazi za Dar kijana. Nairobi si rika yako. Povu utatoa lakini haitabadilisha chochote.

Lang'ata labda mlinganishe na moja ya mitaa yenu ya kifahari. Lanes please!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…