Inasikitisha sana kuona binadamu tena na akili zake zimetimia na hana ulemavu wowote anaishi kwenye nyumba za mabati tena zilizojirundika pamoja kiasi kwamba hata kupata hewa nzuri ni shida. Ndio maana asilimia kubwa ya watu wa Nairobi wana roho mbaya na ni wakatili sana. Huwezi kuishi kwenye nyumba na mazingira kama haya halafu psychologically uwe vizuri (balanced). Ndio maana Nairobi ni chafu sana maana watu wanaoishi kwenye haya mazingira ya slums huwezi kumwambia "KEEP THE CITY CLEAN" akakuelewa. Serikali ikiwaudhi kesho yake utakutana na viroba kibao vya mbolea ya binadamu kwenye mitaro ya CBD ili ku-keep clean slums zao.Mkenya wa kawaida hawezi ku afford maisha ya Dar.View attachment 2022456View attachment 2022457View attachment 2022459
but si we are more than double your per-capita income... kwani!?Mkenya wa kawaida hawezi ku afford maisha ya Dar.View attachment 2022456View attachment 2022457View attachment 2022459
Umeulizwa swali, was it supposed to be an abnormal bridge?Hilo daraja kwa ujenzi huo ni normal bridge kwanza nguzo mbilimbili chini inaashiria sio cable stayed or suspended bali ni normal bridge.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa slums, Yes hakuna wa kuwazidi ukanda huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aafu Google washamba Sana kwa kutumia images za mathare ambayo IPO Mla ndizi 😁😁😁😁😁ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..
hebu search informal settlement kwenye oxford dictionary.
smile sana babaake, habari ndo hio👇🏽 View attachment 2022553
Aisee kumbe slums za Kenya ziko kwenye mipango miji eti well defined and well structured so we should see more of these slums coning into existence everywhere kwasababu ndio urban planning yao.thats Nairobi, but just a small portion, less than 15% if am so to say .. 'Slums in nairobi are well defined and well structured',. even when the National or County Govt, or Charitable Organizations, or Churches, or The Muslim Community, or Foreign Aid, or even The Sikh, comes inhand, they already know where they will exactly go...
whereas Slums in Dar-Is-Slum are scattered and intermixed with Mid-Class such tht even the Govt or Foreign Aiders are confused!.
infact, all settlements in Dar, compose of up to 70% Informal Settlements.. thats according to The UN report 2019, google it please.. if u don't believe me, i can help u find it
majority of nairobians are middle-class per se
Ss hapo hujaelewa nn? Ni kwamba all slums are informal settlement but not all informal settlement are Slum, that's why no slums in Tz, rather there are some informal settlement msifosi tufanane jombaa pambaneni muyapunguze hayo ma slums cz ni aibu na fedheha kwa nchi.ukweli upo, wacha kuji console msera wangu..
hebu search informal settlement kwenye oxford dictionary.
smile sana babaake, habari ndo hio[emoji1427] View attachment 2022553
Prove your per capita by paying salaries kwa kiwango kinachotakiwa.but si we are more than double your per-capita income... kwani!?
their's no way you can defend your allegations
Vipi kuhusu njaa? Does per capita income help you to eradicate famine and hunger?but si we are more than double your per-capita income... kwani!?
their's no way you can defend your allegations
Huyo jamaa amejifunza meaning ya abnormal juzi nini? Mwambie aelewe context kwanza aache kuropoka neno abnormal kama ametoka usingizini Kibera.Umeulizwa swali, was it supposed to be an abnormal bridge?
Kwa standard zetu hiyo ni abnormal bridge, I think u know what am talking about.Umeulizwa swali, was it supposed to be an abnormal bridge?
Sisi ndiyo furaha yetu ili investors wakimbie wote waje Tz wawaache na ustaarabu wao wa kishenzi.Vibaka wa Nairobi wamemuua mwandishi wa Habari wa bbc
Juzi juzi tena polisi wa Mombasa walifungwa kwa kumuua kijana wa kizungu alikuwa tajiri
Kenya wanajichafulia wenyewe kwa wizi
Walifikiri tunatania, ngj kesho Wakenya wakaone tofauti ya uchumi mkubwa na uchumi wa karatasi.Kesho ndio kesho asemae kesho kutwa ni muongo. Ticket yangu kibindoni ready for slum tourism.View attachment 2022630
Na wataipigia water salute watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kesho ndio kesho asemae kesho kutwa ni muongo. Ticket yangu kibindoni ready for slum tourism.View attachment 2022630
Watumishi house, Magomenihii picha sijaelewa .. hapa ni wapi? na hilo jengo la njano ndo lipi tena
View attachment 1852239
Tutawapokea kwa mikono miwiliSisi ndiyo furaha yetu ili investors wakimbie wote waje Tz wawaache na ustaarabu wao wa kishenzi.