The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Tz hakuna slums mkuu.uzuri tu slum zetu za kikenyaland sawa tu na Hillbrow ama Alexandra in Jo'burg, ziko very well confined and well distinct and defined, sio scattered na ku mix allover kama Dar-Is-Slum
Unataka battle ya bridges?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dongo kundu, kmmke imebakia tower tatu za blue sasaView attachment 2022362View attachment 2022363View attachment 2022367View attachment 2022368
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Western bypass, uhuru ametenda banaView attachment 2022380View attachment 2022378
Picha za kitambo sana hizi, kipindi hiki East Africa wala ilikuwa haina ndoto za kupata cable stayed bridges, BRT system wala electrical SGR.Usiombee kupanda gari za gongo la mboto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022389View attachment 2022390View attachment 2022391View attachment 2022393View attachment 2022394View attachment 2022396View attachment 2022398
Duh hii picha ya watu kukaa juu ya Carrier ni ya wapi hii, haijawahi kutokea Tanzania na haitatokea mpk dunia inakwisha, ustaarabu wa Kenya na India huu.Usiombee kupanda gari za gongo la mboto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022389View attachment 2022390View attachment 2022391View attachment 2022393View attachment 2022394View attachment 2022396View attachment 2022398
Daraja sio moja Kuna zingine under construction kama makupa, mteza na mwache. Ndomaana nikisema Bado tower tatu za blue I know what I mean.😂😂😂we ni Kichaa kweli, Kama kupata kadaraja kamoja ndio kushindana na Dar then sorry for you.. owky this is Kigongo Busisi 👇View attachment 2022392View attachment 2022395View attachment 2022397View attachment 2022399we unafkiri Mombasa na watu wa Mombasa walivyo, inaweza kushindana na Mwanza.? Kama kuwa na kadaraja ni kushindana na Dar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole sana kashindanishe hako kadaraja na Mwanza tuone kama kitatoboa
Duuuhhh aiseee ma slums mengine haya mapyaa kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]DSM
Ni kweli I agree with 100%sisi kama wakenya tuko level yetu hatuna competition ukanda huu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2022382View attachment 2022384View attachment 2022385View attachment 2022386View attachment 2022387View attachment 2022388
Kaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwambie huyo director wenu atafute watoto wadogo wa kudanganya. Sawa?
Noma Sana mkuu inasikitisha Sana mkuu😔😔Duuuhhh aiseee ma slums mengine haya mapyaa kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunacheka lkn haipaswi kucheka kabisa wallahi, huu ni unyama.
Hebu weka picha tucheke mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Daraja sio moja Kuna zingine under construction kama makupa, mteza na mwache. Ndomaana nikisema Bado tower tatu za blue I know what I mean.
Karibu gongo la mboto 🤣🤣🤣Duh hii picha ya watu kukaa juu ya Carrier ni ya wapi hii, haijawahi kutokea Tanzania na haitatokea mpk dunia inakwisha, ustaarabu wa Kenya na India huu.
Gongo la Mboto kuna BRT inapita soon, hakujawahi kuwa na usafiri wa hivyo.Karibu gongo la mboto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022417View attachment 2022419
Alafu Dar kwa sasa hakuna hayo mabasi ya DCM.Karibu gongo la mboto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2022417View attachment 2022419
We unavyojua Mwanza kuna Madaraja mangapi.? Mzee wa kujifanya unaijua tz 😂😂😂hiyo mombasa level yake ni Mwanza tu kijanaDaraja sio moja Kuna zingine under construction kama makupa, mteza na mwache. Ndomaana nikisema Bado tower tatu za blue I know what I mean.