Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu kuna flyover moja matata sn inajengwa pale karibu na bandarini ile njia ya kwenda Mbagala, haijawahi kuwekwa humu, mwenye picha ya ujenzi aweke humu au mtu akipata nafasi apige picha pale mana patakuwa na view moja matata sn, kuna flyover, BRT na viaduct kama picha itapigwa kwa juu.
 
So kwa akili yako hii inamaanisha kwamba Kenya haina uchumi mkubwa kushinda wenu?
uchumi gani wa makaratasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uchumi una debt to GDP ratio over 86% alaf unasema kuna uchumi
 
uzuri tu slum zetu za kikenyaland sawa tu na Hillbrow ama Alexandra in Jo'burg, ziko very well confined and well distinct and defined, sio scattered na ku mix allover kama Dar-Is-Slum
 
Wakenya mbona leo hawaonekani, kwani wameenda wapi mbona hawajitokezi wajameni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au ni aibu za kujua uozo wa KRA kudai kwamba wamakusanya Kodi ndefu kuliko TRA, alaf GoK hainauwezo wa kulipa mishahara polisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
DSM
uzuri tu slum zetu za kikenyaland sawa tu na Hillbrow ama Alexandra in Jo'burg, ziko very well confined and well distinct and defined, sio scattered na ku mix allover kama Dar-Is-Slum
Ni kweli I agree with 100%sisi kama wakenya tuko level yetu hatuna competition ukanda huu😁😁😁😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚we ni Kichaa kweli, Kama kupata kadaraja kamoja ndio kushindana na Dar then sorry for you.. owky this is Kigongo Busisi πŸ‘‡we unafkiri Mombasa na watu wa Mombasa walivyo, inaweza kushindana na Mwanza.? Kama kuwa na kadaraja ni kushindana na Dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole sana kashindanishe hako kadaraja na Mwanza tuone kama kitatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…