Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ccm nzima mwanaume alikuwa MAGUFULI TU KWA KIPINDI HICHI WALIOBAKI KALIBIA WOTE WANASHINDWA KUKAZA SAUTI[emoji1787][emoji1787]NI VIJANA NYORORO ,ROJOROJO ,mwambie Geza Ulole aposti picha aliyo ifuta ya masisiemu yamepaka lipstick [emoji168]
Wewe ni WA kupuuzwa huna jipya kwa sasa.
 
Wakati forex ya Tanzania inazidi kuongezeka due to improved exports,,huko kwa jirani ni machozi na kupoteana.

Kenya inasambaratika,GDP haijawa rescue😂😂



 
nchi inajinyea sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254 zile pesa mlevi aliwadanganya KRA imekusanya ziko wapi???

Tumeona hii issue iko across the board from KQ employees to police officers yaani ni nchi nzima hakuna namna madeni yamekuwa mengi na obligations za end of year ni nyingi sana.
 
Wacha bangi.
You don't need a bank to be listed to know that Family Bank, Kenya's 10th biggest bank, makes more annual profits than your most profitable bank. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tafuta excuse ingine for your low GDP.
Haya wewe mwenye GDP ya makaratasi unaeshindwa kulipa govt workers salary mpaka una slash their salaries
 
nchi inajinyea sasa 😂😂😂😂
Tony254 zile pesa mlevi aliwadanganya KRA imekusanya ziko wapi???

😂😂😂 Hawa jamaa itakua walivyonoma TRA wameripoti kukusanya mpunga mrefu wakaona na wao waseme wamakusanya mpunga mrefu mara mbili yetu 😂😂😂😂 Kumbe uhalisia ni kwamba wamekusanya pesa ndogo zaidi yetu.. ujinga wanaoufanya ni kutaka kukumbia kivuli Chao wenyewe 😂😂
 
nchi inajinyea sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254 zile pesa mlevi aliwadanganya KRA imekusanya ziko wapi???

Normally worldwide whenever there is an economic boom it is always followed by a bust kama rate ya economic heating haitakuwa controlled. Sasa kwa hawa ndugu zetu they have been having artificial economic boom on papers hiyo bust yake sijui itakuwaje maana deflation itakuwa si ya kitoto lazima waanze upya from scratch kwenye economics zao.
 
Huyu kiumbe bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa jinc mlivyo na roho mbaya mngeweza kukubali Watz waje kuomba kwenu? Hao ni Wakenya wenzenu wanajitafutia rizki mnawapa uraia wa Tanzania, kwn nani asiyejua kwamba Kenya kuna njaa? Kwenye njaa lazima kuwe na ombaomba hiyo huwezi kukwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…