Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee hizi picha unazifanyaga nini .. uliona wapi ushindani wa hivi.? Njoo na fair comparison kama unashinda utashinda tu lakini kama utashindwa ndio hivyo tena hutotoboa mzee .. kwanini ulete picha za zamani alafu unazichafua.? We ni kichaa.?
Kijana mdogo huu mchezo hautaki hasira,😂😂 hizo ni picha za kipawa ward zilizopigwa na wenzenu, please channel your anger to your leaders. Usinilaumu kwa umaskini wenu.
 
😂😂😂 Nimecheka kifala sana, eti Ooh huyu mgeni, sasa unafkiri mimi naijua DSM kupitia picha za humu JF.?
 
Huyu dogo ni mbwakni sana, maneno mengi picha akileta ni zile zile. Mfano hii estate inafaa ipumzishwe kwa hii thread juu Ina zaidi ya miaka minne humu. Jiji halikui ama shida ni camera hakuna🤣🤣
 
Huyu dogo ni mbwakni sana, maneno mengi picha akileta ni zile zile. Mfano hii estate inafaa ipumzishwe kwa hii thread juu Ina zaidi ya miaka minne humu. Jiji halikui ama shida ni camera hakuna🤣🤣View attachment 2020318
We jamaa ni fala au .? Kwahiyo ulitaka ivunjwe ijengwe nyingine sio.? Unaakili timamu wewe.? Au ni wivu na roho mbaya ndio vinakusumbua.?
 
Nairobi isn’t any better. As a matter of fact, you host the biggest slum on the continent. Instead of trolling Tanzanians about Dar’s unplanned neighborhoods, why don’t you take a a closer look at where you live and judge your own home?
 
You don’t even know Dar well. Who said that Kijitonyama and makumbusho are Dar’s affluent suburbs? They are experiencing massive growth every day, but they aren’t Dar’s richest neighborhoods.
 
Huyu dogo ni mbwakni sana, maneno mengi picha akileta ni zile zile. Mfano hii estate inafaa ipumzishwe kwa hii thread juu Ina zaidi ya miaka minne humu. Jiji halikui ama shida ni camera hakuna🤣🤣View attachment 2020318
Unlike Nairobi, Dar doesn’t have many gated communities. People here build their own homes, that’s why it’s difficult to just take pictures of peoples houses. And it’s the reason why it’s pointless to compare Nairobi’s suburbs to Dar’s. But I can assure you that Dar has lots of spectacular homes.
 
Kwhyo zile data za umaskini kule WB mlizipeleka wenywe alafu bado mnazipinga[emoji1787][emoji1787]
Nijibu wewe lodi rofa wa kibera .....kenya kuko na SLUM NGAPI nataka jibu haraka sana
 
Kama hivi ndivyo ni kwa namna gani Mgao wa umeme kwamba umesababishwa na ukame?

Ni Bwawa la Kidatu na Kihansi au ? Maana hatuwaelewi akina Makamba kwa staili hii.
Ma shooga yakiulizana [emoji115][emoji115] yenyewe kwa yenyewe kuhusu mjambiani mpumbaaavu
 
Hehehe, uliambiwa Nairobi watu hawajijengei? Her. Tembea Hii mitaa
syokimau
Kahawa Sukari
Membley
Ruai
Kiserian
Rongai
Kitengela n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…