Kabisa naskia pia wao wanataka kuleta BRT...Mombasa imebakia tu three blue towers ifikie Dar
Nairobi kuna chumba cha ksh 100 kwa mwezi sawa na shilingi 2000 za bongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio hivyo tena, lakini kama ingalikua tunapiga picha mpya mara kwa mara ningekushangaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3516]Huwa Nacheka sana, naona mmeanza kuhalalisha sasa kwamba eti humu ndio wanaishi middle class wa Dar es Salaam [emoji23][emoji23], hayo maeneo ndio makazi ya maskin wa dar es salaam, ambapo sikuhiz yamepungua mnoo .. na ndio maana huwa nakwambia maskini wa NAIROBI akifika dar anakua fukara wa kutupa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umefufuka2015 mpaka 2021
Hakuna slums Tz, hicho unachoonesha ni unplanned settlement, kama unataka Slums ziwepo Tz nenda uka update google Mana ww c bingwa wa ku update google [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fact......Hawataki kukubali kwamba aliposema elimu bure kukawa na mwamko wa kupeleka watoto shule
Hivi ni wapi?Just like I predicted 😂 😂 😂 😂
Wa Kwanzaa ndio huyu hapa ashatafuta picha ya Kibera kujiliwaza nayo. Wa pili na wa tatu wapo njiani
Kibera slumKwamba hapa unaiona Tz hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2019619
Modern middle class areas[emoji1787][emoji1787]Kwamba hapa unaiona Tz hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2019619
Tunasubiria middle class areas dar
Unakumbuka nikisema mtakimbilia pics za Kibera? Predictable fools! 😂
Kashindwa kuleta middle class dar sasa anahaha na kiberaUnakumbuka nikisema mtakimbilia pics za Kibera? Predictable fools! [emoji23]
Umekuwa ukipost picha hz hz kwa miaka mingi sn ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi residential areas. Yani midanganyika wakiona picha Kama hizi wanakimbilia picha za Kibera kujifariji nazo [emoji23]
View attachment 2019590View attachment 2019591View attachment 2019597View attachment 2019598View attachment 2019599View attachment 2019600View attachment 2019602View attachment 2019604View attachment 2019605View attachment 2019606View attachment 2019607View attachment 2019608
Aliyekuzuia kupost uswazi aka dreamhouses nani kijana? Kama huna cha maana post hata kibera ujifariji nayoUmekuwa ukipost picha hz hz kwa miaka mingi sn ss [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nilisema watopost picha za kibera to counter my post and that's exactly what they did!Kashindwa kuleta middle class dara sasa anahaha na kibera
Hata mimi najua hamna slums. mko na dreamhouses kama hiyo picha uliyoiquoteHakuna slums Tz, hicho unachoonesha ni unplanned settlement, kama unataka Slums ziwepo Tz nenda uka update google Mana ww c bingwa wa ku update google [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa tunaziita picha za upande upande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hako kaeneo ka hizo concentration camp kale palee [emoji28][emoji28][emoji28] majority ni 3.9 residents area, nafikiri unawajua View attachment 2019618
Wako na african modern dream housesHata mimi najua hamna slums. mko na dreamhouses kama hiyo picha uliyoiquote
Mji wowote duniani ambao hauna modern infrastructures like BRT system, cable stayed bridges, electric sgr basi huo mji ni stone age.Mombasa imebakia tu three blue towers ifikie Dar
Hahahaha, hii ni picha ya Nairobi,,[emoji23][emoji23][emoji23]