Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapo mkuu umembana korodani huyo nyang'au ila inawwzekana wakawa wanategemea vitu vingi kutoka nje kwasababu uzalishaji wao wa ndani ni hafifu
Ni kweli mkuu, hata Bongo hapa tunategemea vitu vingi tu kutoka nje. Tena Kwa hii miradi mikubwa inayoendelea ndio kabisa maelfu ya Tani yanaingia daily. Na bado mizigo mingi sana inayokwenda nchi za jirani. Sasa Kwa vyote hivyo bado bandari ya mombasa iipite ya Dar kwa mizigo?

Huoni hawa jamaa wanaka udwanzi flani kucheza na akili za watu.. Hiyo hata mtoto mdogo hawezi kukubali.
 
tuendelee kuwaenjoy tu
 
Wazee wa karatasi hao [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tumeshawazoea
 
Tatizo umeotoa data akilini mwako, sasa wewe unafikiria kile unachowaza katika ubongo wako basi ni kwel
 
Maneno bila data ni sawa na upupu wa nguruwe tu
 
Uduwanzi wanao tena si kidogo!!!walijifungia wakati wa COVID ila utaskia Jomo Kenyatta ilihudumia abiria wengi kuliko Julius Nyerere miaka miwili iliyopita!!!! Waacheni waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe!!!
 
Uduwanzi wanao tena si kidogo!!!walijifungia wakati wa COVID ila utaskia Jomo Kenyatta ilihudumia abiria wengi kuliko Julius Nyerere miaka miwili iliyopita!!!! Waacheni waendelee kujitekenya na kucheka wenyewe!!!
Si midomo mnayo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Data gani nimetoa bibie? Mbona sijaweka data zozote hapa... Mimi naongelea authenticity za data alizotoa shoga yako hapa.
Jf sio ya meneno matupu, eti umekuja na assumptions zako hapa basi unafikiria kila mtu ni zezeta litakuunga mkono..
Lete data to support your claim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…